Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Imekuwa hivi kweli? Angemtegemea Mungu KWELI asingeaibika kamwe no matter mazingira anayoishi yakoje.
 
Msanii nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania Bi Rose Muhando ameibuka katika kanisa moja nchini Kenya akiwa amechomwa moto mikono na sehemu mbalimbali za mwili wake huku uso wake ukiwa na majeraha kiasi cha kuonekana mithili ya kinyago ikiaminika ni sababu za ushirikina kwani alitoweka nyumbani kwake miezi mitatu ambapo alikutwa akizurura mitaani na barabarani akiwa hajielewi.

Fuatilia link hii ujionee



Mungu wetu ni muaminifu, ukimtumikia kwa uaminifu kamwe hatakuacha ibilisi akuchezee....
usanii tu hapa ilipangwa dili ili kulitangaza hilo kanisa
 
Huyu SI Rose Muhando.
Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya

 
Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho

Attention pls!! Huo ni Uzushi. Hiyo SIO Rose Muhando.
 
Back
Top Bottom