Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Aliekuambia Rese Mhando ni mtumishi wa Mungu nani?Hivi ni kitu gani kipo nyuma ya pazia kuhusu mtumishi wa Mungu Rose Muhando?
Ukitazama video hii, Rose anaropoka maneno ya kutisha.
Je, ni kweli kwamba waimbaji wa Injili wanaishi maisha ya kutisha namna hii?
niliona kwa lulunation au kwa yule dada wa kikenya zhura1 nahisi kama sjakosea spellin ya id yake
Mkuu Mkimagii, kama sio mwanasheria, unapaswa kuwa mwanasheria, mwandishi wa habari za investigative journalism or mwana saikolojia, Una kipawa au kipaji cha observation into little details, japo wote tumeona hiyo video clip, ni wachache wake observers details, hiyo inatokana na kuwa na IQ kubwa. Baada ya kukuona ndio nimeangalia tena nikaona.Sifa na utukufu ni kwako Bwana Yesu. Hakika Yesu unastahili kuabudiwa wewe pekee. Ila baaada ya kuangalia hii video kuna vitu vimenichanganya. Kabla ya kuangalia hii video, nilikuwa nafahamu kwamba mtu akiwa anafanyiwa au kutolewa mapepo huwa anakuwa sio yeye tena au hajitambui. Pia mara nyingi huwa anakuwa hana ufahamu wa mambo yanayo endelea kwenye zoezi zima, ndio maana mara nyingi watu wanao pagawa mapepo ujirusha rusha wengine paka wana jijeruhi basipo kujuwa. Wengine uchana mavazi na kubaki uchi pia hata kupigana na kutukana watumishi wa Mungu pasipo kufahamu.
Ukiangalia hii video, kuanzia 0.22 paka 0.23 unaweza kuona kama Rose anajaribu kushusha gauni au nguo chini kujisitiri. Tena 1.45 paka 1.48 Unaweza kuona kama mchungaji anamkandamiza kwa nguvu Rose mdomoni, lakini Rose anajaribu kumwondoa mkono mchungaji. nadhani hii ni ishara kwamba " tafadhali unaniumiza". Pia 2.00 paka 2.01 kuna mhudumu amemtupia Rose kitu kama khanga, alafu Rose akajaribu kama kuivuta kwa juu ili kujisitiri. Baada ya kusema hivyo, sina shaka dada yetu Rose alikuwa anajielewa kwenye zoezi zima. Je kitu kama hichi kinaweza kutokea? mtu kupagawa mapepo na wati huo huo kujitambua!
Nakaribisha watumishi wote na watu wenye uwelewa kwenye hii mada.
Basi afie mbali huko!! Mvuta bange mkubwaAlishagakuwa mwanasiasa wa ccm sidhani kwa sasa kama bado anajishughulisha na uimbaji wa nyimbo za injili
Wakija nitag mkuuNi muda mrefu sana huyu mwimbaji wa nyimbo za injili yuko kimya na hasikiki tena kwenye game, lakini juzi tu nimekutana na hii video kwenye group moja la WhatsApp.
Je kuna ukweli wowote katika video hii?
Naomba kwa anayefahamu alipo msanii huyu kwa sasa na maisha yake kwa ujumla atueleze na kama kilichoonekana kwenye hii video ni kweli.View attachment 942330
Unamzungumzia huyu rozi aliyehama kwa Yesu akahamia ccm?Hivi ni kitu gani kipo nyuma ya pazia kuhusu mtumishi wa Mungu Rose Muhando?
Ukitazama video hii, Rose anaropoka maneno ya kutisha.
Je, ni kweli kwamba waimbaji wa Injili wanaishi maisha ya kutisha namna hii?
Naunga mkono hoja, kikawaida mtu mwenye mapepo, akiombewa na kugalagala, akitulia ni yametoka, nimenote Rose alitulia, yakawa kama yametoka, lakini alipoongea akaonekana kama bado yapo.Inavyomekana huyo Rose Mhando kapelekwa hapo kwa ajiri ya maombi kutokana na situation aliyokuwa nayo,i si yeye kajipeleka hapo, ila huyo jamaa ni tapeli tu, na ndio maana analazimisha mambo.
ccm ni laana kubwa!!Alishagakuwa mwanasiasa wa ccm sidhani kwa sasa kama bado anajishughulisha na uimbaji wa nyimbo za injili
Mkuu Mkimagii, kama sio mwanasheria, unapaswa kuwa mwanasheria, mwandishi wa habari za investigative journalism or mwana saikolojia, Una kipawa au kipaji cha observation into little details, japo wote tumeona hiyo video clip, ni wachache wake observers details, hiyo inatokana na kuwa na IQ kubwa. Baada ya kukuona ndio nimeangalia tena nikaona.
Thanks for your observations
P
I saw this and I cried, and have been emotional for Everytime I have watched it, Rose Muhando a servant of God whose Music brought so much Joy to us, through his Music many sought God, the messages she delivered through her song epitomizes what preaching through song is.Hivi ni kitu gani kipo nyuma ya pazia kuhusu mtumishi wa Mungu Rose Muhando?
Ukitazama video hii, Rose anaropoka maneno ya kutisha.
Je, ni kweli kwamba waimbaji wa Injili wanaishi maisha ya kutisha namna hii?