Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Kumbe mimi hukuniona genius nilivyosema ile ni sehemu ya filamu mpya ya bongo movies iliyoaktiwa kanisani? Mchungaji lakini kafanikiwa kiasi flani kutangaza biashara yake.Mkuu Mkimagii, kama sio mwanasheria, unapaswa kuwa mwanasheria, mwandishi wa habari za investigative journalism or mwana saikolojia, Una kipawa au kipaji cha observation into little details, japo wote tumeona hiyo video clip, ni wachache wake observers details, hiyo inatokana na kuwa na IQ kubwa. Baada ya kukuona ndio nimeangalia tena nikaona.
Thanks for your observations
P
Nadhani hapo issue sio kuwa Rose ana alikuwa alikuwa na mapepo la hasha mi nimeona Rose ana au yuko kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na kiafya ya mwili (mgonjwa) na sio kiroho..Mkuu Mkimagii, kama sio mwanasheria, unapaswa kuwa mwanasheria, mwandishi wa habari za investigative journalism or mwana saikolojia, Una kipawa au kipaji cha observation into little details, japo wote tumeona hiyo video clip, ni wachache wake observers details, hiyo inatokana na kuwa na IQ kubwa. Baada ya kukuona ndio nimeangalia tena nikaona.
Thanks for your observations
P
Chademaakina nani ?
Solomon mkubwa ni mtanzania pia?Kurogana ni kawaida tz .Si hata Solomon mkubwa alirogwa na mamake wa kambo?
Uwe unatafuta ukweli kabla hujaandika?Ni watanzania. Ama ni wanyarwanda?
Hajielewi huyu bila Shaka...hata Google ameshindwa tafuta ukweli wa analolisema.Kiswahili kinakusumbua rafiki
Jaribu kutumia Google utapata majibu sahihi otherwise stop quoting me please
Mkuu makambovich..Kama ni kweli kuna mtu anamfanyia huyu Dada ubaya wote huu nae ajue sk zote malipo ni hapa hapa duniani!!
Hata kama anavuta unga vipi kuhusu mali zake kama magari ambayo anasema wameyachukua.
Najua hata yeye anajua huwezi kufanya usanii kwenye neno la Mungu utaondoka duniani kwa aibu.
Kabla hatujamuhukumu tumsikilize kwanza, na tuulize upande wa pili wa hao anaosema wamemdhulumu wanalipi la kujitetea.
unaitambua vizuri akili ya muathirika wa madawa ya kulevya wewe??Asee!Hivi mtu anaweza kuigiza kuunguza mikono yake?Hebu angalia vzr picha hiyo kuliko kusema bila kufikiri
ahahahahhahaahaha i gues she is deeply serious, sema tukio lililomkuta na nyakati tulizopo ndio vinaleta maana ya sentensi yako.huyu alipaswa kuwa Hollywood huyu...maigizo ayaweza sana