Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Mkuu Mkimagii, kama sio mwanasheria, unapaswa kuwa mwanasheria, mwandishi wa habari za investigative journalism or mwana saikolojia, Una kipawa au kipaji cha observation into little details, japo wote tumeona hiyo video clip, ni wachache wake observers details, hiyo inatokana na kuwa na IQ kubwa. Baada ya kukuona ndio nimeangalia tena nikaona.
Thanks for your observations
P
Kumbe mimi hukuniona genius nilivyosema ile ni sehemu ya filamu mpya ya bongo movies iliyoaktiwa kanisani? Mchungaji lakini kafanikiwa kiasi flani kutangaza biashara yake.

Mwisho wa siku wajinga ndio waliwao. Nigongee tena LIKE basi nipate ujiko.
 
Achana na hawa Walokole,siku nikigundua Mke wangu anaenda huko ndiyo safari yake ya kwenda kwao.
 
Waimba Injili Wanapotumiwa Na Wanasiasa Ni Mbaya Sana. Yupo Mwingine Naye Anatamani Kuiingia Siasani. Wanataka Kuiga Wanamuziki Wa Kidunia Walivyopenya Siasani Kwa Mitaji Ya Mashabiki Wao. Kwenye Mambo Hayako Hivyo. Injili Haitaki Uchafu Kama Siasa Ilivyo. Siasa Ina Rafu Nyingi Kushindana Na Washindani. Muimba Injili Akitaka Siasa Ni Lazima Aache Injili Vinginevyo Atachanganyikiwa Kuchanganya Siasa Na Injili
 
Mkuu Mkimagii, kama sio mwanasheria, unapaswa kuwa mwanasheria, mwandishi wa habari za investigative journalism or mwana saikolojia, Una kipawa au kipaji cha observation into little details, japo wote tumeona hiyo video clip, ni wachache wake observers details, hiyo inatokana na kuwa na IQ kubwa. Baada ya kukuona ndio nimeangalia tena nikaona.
Thanks for your observations
P
Nadhani hapo issue sio kuwa Rose ana alikuwa alikuwa na mapepo la hasha mi nimeona Rose ana au yuko kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na kiafya ya mwili (mgonjwa) na sio kiroho..
Anaeleza mgongano wa kimaslahi kati yake na meneja wake. Ana fukuto zito ndani ya nafsi yake, linalovuka mipaka ya uelewa na uwezo wake kiakili..

Ufumbuzi haikuwa zile mbwembwe za madhabahuni ila ni msaikolojia na mchumi ndio watakao kuwa na tiba ya tatizo lake bila ku sahau tabibu wa mwili wake..
 
Kama ni kweli kuna mtu anamfanyia huyu Dada ubaya wote huu nae ajue sk zote malipo ni hapa hapa duniani!!
Hata kama anavuta unga vipi kuhusu mali zake kama magari ambayo anasema wameyachukua.
Najua hata yeye anajua huwezi kufanya usanii kwenye neno la Mungu utaondoka duniani kwa aibu.
Kabla hatujamuhukumu tumsikilize kwanza, na tuulize upande wa pili wa hao anaosema wamemdhulumu wanalipi la kujitetea.
 
Kiswahili kinakusumbua rafiki
Jaribu kutumia Google utapata majibu sahihi otherwise stop quoting me please
Hajielewi huyu bila Shaka...hata Google ameshindwa tafuta ukweli wa analolisema.
 
Naona watu weeengi wamejikita ktk hukumu, lkn wanahukumu kwa kutumia tuhuma tu ambazo hawana uhakika nazo! Hebu nikuulize wewe unaempa Rose hukumu na kumsimanga una uhakika na usemacho? Pia wewe ni msafi kiasi gani hata unyooshe kidole chako kwa binadam mwenzio? Acheni hizo bhana alaa!
 
Kama ni kweli kuna mtu anamfanyia huyu Dada ubaya wote huu nae ajue sk zote malipo ni hapa hapa duniani!!
Hata kama anavuta unga vipi kuhusu mali zake kama magari ambayo anasema wameyachukua.
Najua hata yeye anajua huwezi kufanya usanii kwenye neno la Mungu utaondoka duniani kwa aibu.
Kabla hatujamuhukumu tumsikilize kwanza, na tuulize upande wa pili wa hao anaosema wamemdhulumu wanalipi la kujitetea.
Mkuu makambovich..
Kuna Mengi sana nyuma ya maisha ya huyu dada, ukiyasikiliza itakutia hasira sana! Kuja watu wamemtumia sana kama punda, ukiangalia familia aliyokuwa nayo pale kwake na jinsi ya kuiendesha utamuonea huruma.
Rose alikosa Elimu na maarifa ya kuliongoza jina lake na kipaji chake...

Alipokuwa anavuma sana alikuwa chini ya Meneja Mzuri Nathan lakini tangu avurugane na Nathan karibu kila aliyekuja amejipigia vyake na kuondoka its so sad.
 
Rose karogwa bila shaka.Kuna kipindi aliumwa na nyoka langoni akiingia kwake. Amepitia mengi kama mkristo hadi akajuta kuuacha uislamu. Pia aliavya mimba wakati mmojammoja kulingana na umbea wa wabongo. Sasa anasingiziwa kutumia mihadarati na ukweli uliopo ni kwamba alirogwa na mchawi hajulikani,.
 
Write your reply...
mlokole huyu mimi simuelewagi kabisa yaani
 
Back
Top Bottom