Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
simu yangu ni tecno ya tochi mkuu nimeshindwa .Mkuu ungeileta hapa ili na sisi tuione
Sawa.Ngoja labda wengine wataletasimu yangu ni tecno ya tochi mkuu nimeshindwa .
Huyo alishadata kitambo sana Mkuu wala usiumize kichwa chako kumuwaziaNimeona video inayozunguka mitandaoni ikimuonyesha mtu anayefanana na Rose Mhando akiombewa baada ya kukumbwa mapepo , je ni yeye kweli ?
Nenda kamuulize!Nimeona video inayozunguka mitandaoni ikimuonyesha mtu anayefanana na Rose Mhando akiombewa baada ya kukumbwa mapepo , je ni yeye kweli ?
Inaonekana kama ndiye vile, na kwa mujibu wa mazungumzo inaonekana meneja wake kampiga misumali...!!Nimeona video inayozunguka mitandaoni ikimuonyesha mtu anayefanana na Rose Mhando akiombewa baada ya kukumbwa na mapepo , je ni yeye kweli ?
hakuna kitu.ni usanii tu hapoNimeona video inayozunguka mitandaoni ikimuonyesha mtu anayefanana na Rose Mhando akiombewa baada ya kukumbwa na mapepo , je ni yeye kweli ?
Kumbe hawakupi vitendea kazi?simu yangu ni tecno ya tochi mkuu nimeshindwa .
Unamaanisha Mtume aliwahi kupagawa??Inawezekana.
MAPEPO hayana baunsa, maana hata kwenye maandiko matakatifu tumepewa visa vyao (Mtume Muhammad S.W kipenzi cha mungu, alisha testiwa, na akajaa) sembuse sisi wa sasa hivi.
Ukizingatia UNAFIKI sasa hivi ndio kama DINI mpya Tanzania (wana CCM). Mtu akienda kwa FUNDI kukutandika msumari, unajaa vizuri bila hata pingamizi[emoji18]
Sio kupagawa na sijamaanisha hivo, ila aliwahi kutestiwa uchawi, na ukajaa, na ndio akaambiwa na Jibriil A.S tiba yake asome Surah Nass, Falaq, na Kul huwallah ahad.[emoji4]Unamaanisha Mtume aliwahi kupagawa??
Kama ni usanii basi tutashukuru , ila kama ni ugonjwa basi tumuombeehakuna kitu.ni usanii tu hapoView attachment 941737
akina nani ?Kumbe hawakupi vitendea kazi?
Mrs. Walahi. Natamani kukuwalahi kitandaniNdio kurogwa kwenyewe uko walahi