chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
[emoji1]hicho kiatu kivueeeee.
kaenda kukivua rasmi
Ahahah! Nasubiri jibu lakeUwongo mtupu walahi
Dih!? Usanii uliopitiliza...anyway nashauri wamuwaishe Milembe....
Nimeona video inayozunguka mitandaoni ikimuonyesha mtu anayefanana na Rose Mhando akiombewa baada ya kukumbwa na mapepo , je ni yeye kweli ?
Ila kuna watu mna matatizo, kilichokukera ni nini mpaka unitukane?Ondoa upumbavu wako hapa walahi
Hajui kuwa CCM ni pepo pia
so sad aiseeMbona hatuoni picha za kutolewa uchawi? Mtu ajidunge mseme karogwa!!!???
Kitu cha kuhuzunisha ila ilibidi nicheke watu wana vituko sana sijui alifikiria nini[emoji2][emoji2]
how did you know that?!Rose pia amekuwa conwoman kwa kushirikiana na pastor Ng'ang'a kuwahadaa wamama wanaoamini dini kwa roho yao yote....hii biashara imenoga sana Afrika kote.
kwan huwa anavaa fupi?Unaweza kukuta huyu Pastor Ng'ang'a amempatia Rose fungu ili aaanguke amtengenezee ili Mchungaji apande Hadhi Kipande hiyo, imekuwaje amejiandaa kwa kwenda na nguo ndefu !!!
[emoji15]Yes my dear, maana chimbuko letu ni wayahudi walahi
Lingine?
maigizo tena ndugu yangu?Masahihisho:MUIMBAJI WA TANZANIA ROSE MUHANDO AFANYA MAIGIZO YA KUTOLEWA MAPEPO KENYA.
kaisha aiseee, anatia huruma sana!!!Hii ni zaidi ya picha kihindi
Rose mrudie Mungu wako
Umejiloga mwenyewe
Hiyo mIkono vipi?
Afya mgogoro Rose ni nini lakini mamii!!?
Mmenikumbusha ya Askofu Kakobe awachana live akina Rose Muhando | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda - JamiiForums
View attachment 941401
Hii inatembea sana kwenye whstp sasa hivi. Ukweli ni kuwa kadri unavyokuwa maarufu ndivyo unavyopoteza uhuru wako binafsi na ukikosa mtu sahihi wa kusimamia umaarufu wakoNimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho
Unajua anaingiza shilingi ngapi kwa kuigiza hivyo?Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya