Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Dah, pole kwake, Huyu dada kabla ya kuimba na kuwa maarufu alikuwa na troubled life tu, alipokuwa maarufu na hela pia akawa anakorofishana na wachungaji wake, akaja akaporomoka, akawa anatapeli anakimbia na hela za matamasha hadi kutumia madawa..nadhani ni mtu wa trouble tu
 
Ondoa upumbavu wako hapa walahi
Ila kuna watu mna matatizo, kilichokukera ni nini mpaka unitukane?

Kucheka alichokisema Kilewo au ni kipi?

Haya wewe Mwerevu.
 
Watu wenye mapepo hujikuta wanasema tu kwasababu anayezungumza ni pepo lenyewe.

Ukweli haufichiki yuko ccm ila anajua kipi kimempeleka mwishowe kabeba na mapepo.
Kitu cha kuhuzunisha ila ilibidi nicheke watu wana vituko sana sijui alifikiria nini[emoji2][emoji2]
 
Rose pia amekuwa conwoman kwa kushirikiana na pastor Ng'ang'a kuwahadaa wamama wanaoamini dini kwa roho yao yote....hii biashara imenoga sana Afrika kote.
how did you know that?!
 
Unaweza kukuta huyu Pastor Ng'ang'a amempatia Rose fungu ili aaanguke amtengenezee ili Mchungaji apande Hadhi Kipande hiyo, imekuwaje amejiandaa kwa kwenda na nguo ndefu !!!
kwan huwa anavaa fupi?
 
Hii ni zaidi ya picha kihindi
Rose mrudie Mungu wako
Umejiloga mwenyewe
Hiyo mIkono vipi?
Afya mgogoro Rose ni nini lakini mamii!!?
kaisha aiseee, anatia huruma sana!!!
 
Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho

Hii inatembea sana kwenye whstp sasa hivi. Ukweli ni kuwa kadri unavyokuwa maarufu ndivyo unavyopoteza uhuru wako binafsi na ukikosa mtu sahihi wa kusimamia umaarufu wako
Utapotea katika kiza cha kutisha. Jina la Rose lilikuwa kubwa kuliko uwezo wake wa kulibeba na wenye nia zao wamemtumia watakavyo .
 
Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya


Unajua anaingiza shilingi ngapi kwa kuigiza hivyo?
Yaani nyie mnaishi kwa kufuata ushuuda wa uongo.
Makanisa ya kisasa yamekua ni deal la biashara unakuta eneo lina umasikini wa kutupa lakini makanisa yapo zaidi ya 70
 
Back
Top Bottom