Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Nadhanni kuna viongozi wanahitaji kuwekewa mapepo TZ.
 
Rose karogwa bila shaka.Kuna kipindi aliumwa na nyoka langoni akiingia kwake. Amepitia mengi kama mkristo hadi akajuta kuuacha uislamu. Pia aliavya mimba wakati mmojammoja kulingana na umbea wa wabongo. Sasa anasingiziwa kutumia mihadarati na ukweli uliopo ni kwamba alirogwa na mchawi hajulikani,.
Kama yote hayo yanamkuta sababu ni kuuacha uislamu..namshauri arudi...
Japokuwa alikuwa vibaya sana kabla ya kuokoka!
Anarudi kwenye asili yake ...tabia haina dawa!
 
ccm ni laana kubwa!!
Wewe na kizazi chako ndio wenye laana ya milele walahi
Tii mamlaka iliyoko madarakani na umekataa, hakika yatakupata yaliyo wapata watoto wa Nabii Eli walahi
 
TATIZO ALIMTEGEMEA MWANADAMU HADI KUFIKIA KUBADILI WIMBO TOKA "YESU NIBEBE" KWENDA "MAGUFULI NIBEBE" AKASAHAU KUWA IMEANDIKWA KUWA AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU, AMFANYAYE MWANADAMU KUWA KINGA YAKE NA MOYONI MWAKE AMEMWACHA BWANA
 
Naona watu weeengi wamejikita ktk hukumu, lkn wanahukumu kwa kutumia tuhuma tu ambazo hawana uhakika nazo! Hebu nikuulize wewe unaempa Rose hukumu na kumsimanga una uhakika na usemacho? Pia wewe ni msafi kiasi gani hata unyooshe kidole chako kwa binadam mwenzio? Acheni hizo bhana alaa!
ACHA WATU WASEME ILI KUWA FUNZO KWA WENGINE.
 
TATIZO ALIMTEGEMEA MWANADAMU HADI KUFIKIA KUBADILI WIMBO TOKA "YESU NIBEBE" KWENDA "MAGUFULI NIBEBE" AKASAHAU KUWA IMEANDIKWA KUWA AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU, AMFANYAYE MWANADAMU KUWA KINGA YAKE NA MOYONI MWAKE AMEMWACHA BWANA

Kwendraaaaa kafie huko na uwongo wako punguani mkubwa wewe walahi
 
hata kama ni maigizo basi msanii kweli kweli maana PoP, NGOZI IMEDORORA MIGUUNI MAKOVU KWA KWENDA MBELE
1. TEJA?
2 KWELI SHETANI?
Time will tell
Ila kamtaja manager wake aje hapa naye aanike!
 
Kwendraaaaa kafie huko na uwongo wako punguani mkubwa wewe walahi
KWA KUWA WEWE NI KICHAA, HIVYO UNAMUONA AMBAYE ANAFANYA MATENDO TOFAUTI NA YA KWAKO KUWA NI KICHAA. NASISITIZA TENA NENO HILI TOKA KWENYE BIBLIA TAKATIFU "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU, AMFANYAYE MWANADAMU KUWA KINGA YAKE NA MOYONI MWAKE AMEMWACHA BWANA"
 
Unaweza kukuta huyu Pastor Ng'ang'a amempatia Rose fungu ili aaanguke amtengenezee ili Mchungaji apande Hadhi Kipande hiyo, imekuwaje amejiandaa kwa kwenda na nguo ndefu !!!
Unaweza kwenda kanisani na nguo fupi!???
 
Sifa na utukufu ni kwako Bwana Yesu. Hakika Yesu unastahili kuabudiwa wewe pekee. Ila baaada ya kuangalia hii video kuna vitu vimenichanganya. Kabla ya kuangalia hii video, nilikuwa nafahamu kwamba mtu akiwa anafanyiwa au kutolewa mapepo huwa anakuwa sio yeye tena au hajitambui. Pia mara nyingi huwa anakuwa hana ufahamu wa mambo yanayo endelea kwenye zoezi zima, ndio maana mara nyingi watu wanao pagawa mapepo ujirusha rusha wengine paka wana jijeruhi basipo kujuwa. Wengine uchana mavazi na kubaki uchi pia hata kupigana na kutukana watumishi wa Mungu pasipo kufahamu.

Ukiangalia hii video, kuanzia 0.22 paka 0.23 unaweza kuona kama Rose anajaribu kushusha gauni au nguo chini kujisitiri. Tena 1.45 paka 1.48 Unaweza kuona kama mchungaji anamkandamiza kwa nguvu Rose mdomoni, lakini Rose anajaribu kumwondoa mkono mchungaji. nadhani hii ni ishara kwamba " tafadhali unaniumiza". Pia 2.00 paka 2.01 kuna mhudumu amemtupia Rose kitu kama khanga, alafu Rose akajaribu kama kuivuta kwa juu ili kujisitiri. Baada ya kusema hivyo, sina shaka dada yetu Rose alikuwa anajielewa kwenye zoezi zima. Je kitu kama hichi kinaweza kutokea? mtu kupagawa mapepo na wati huo huo kujitambua!

Nakaribisha watumishi wote na watu wenye uwelewa kwenye hii mada.
Niliona apo, nikawa najiuliza hivi inakuaje ila baadae nikapuuzia
 
Back
Top Bottom