boga la kiangazi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 504
- 671
biashara hii inalipa yan anakumbuka kurekebisha nguo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapanaMkuu unaweza jua alilipwa kiasi gani
[emoji23][emoji23]HAPA NCHINI KWETU HAKUNA MTAALAMU WA KUYATOA?
ya Imani Huyajui, Muache Mkeo Aamini AkiaminiyeAchana na hawa Walokole,siku nikigundua Mke wangu anaenda huko ndiyo safari yake ya kwenda kwao.
Kama yote hayo yanamkuta sababu ni kuuacha uislamu..namshauri arudi...Rose karogwa bila shaka.Kuna kipindi aliumwa na nyoka langoni akiingia kwake. Amepitia mengi kama mkristo hadi akajuta kuuacha uislamu. Pia aliavya mimba wakati mmojammoja kulingana na umbea wa wabongo. Sasa anasingiziwa kutumia mihadarati na ukweli uliopo ni kwamba alirogwa na mchawi hajulikani,.
Umejiroga mwenyewe eéAbwie madawa na mibangi mwenyewe halafu asingizie watu wamemloga??? aliwahi kuimba umejiloga mwenyeweee!!!!
Akasafishe nyotamziki wa injili ulishamshinda....hana thamani kwa sasa hapa tz na game yake ilishapita.....tumewakabidhi wakenya mmalizane naye.
Wewe na kizazi chako ndio wenye laana ya milele walahiccm ni laana kubwa!!
ACHA WATU WASEME ILI KUWA FUNZO KWA WENGINE.Naona watu weeengi wamejikita ktk hukumu, lkn wanahukumu kwa kutumia tuhuma tu ambazo hawana uhakika nazo! Hebu nikuulize wewe unaempa Rose hukumu na kumsimanga una uhakika na usemacho? Pia wewe ni msafi kiasi gani hata unyooshe kidole chako kwa binadam mwenzio? Acheni hizo bhana alaa!
Akasafishe nyota
TATIZO ALIMTEGEMEA MWANADAMU HADI KUFIKIA KUBADILI WIMBO TOKA "YESU NIBEBE" KWENDA "MAGUFULI NIBEBE" AKASAHAU KUWA IMEANDIKWA KUWA AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU, AMFANYAYE MWANADAMU KUWA KINGA YAKE NA MOYONI MWAKE AMEMWACHA BWANA
Kwendraaaaa kafie huko na uwongo wako punguani mkubwa wewe walahi
KWA KUWA WEWE NI KICHAA, HIVYO UNAMUONA AMBAYE ANAFANYA MATENDO TOFAUTI NA YA KWAKO KUWA NI KICHAA. NASISITIZA TENA NENO HILI TOKA KWENYE BIBLIA TAKATIFU "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU, AMFANYAYE MWANADAMU KUWA KINGA YAKE NA MOYONI MWAKE AMEMWACHA BWANA"Kwendraaaaa kafie huko na uwongo wako punguani mkubwa wewe walahi
Unaweza kwenda kanisani na nguo fupi!???Unaweza kukuta huyu Pastor Ng'ang'a amempatia Rose fungu ili aaanguke amtengenezee ili Mchungaji apande Hadhi Kipande hiyo, imekuwaje amejiandaa kwa kwenda na nguo ndefu !!!
Mbona umepanicKwendraaaaa kafie huko na uwongo wako punguani mkubwa wewe walahi
Niliona apo, nikawa najiuliza hivi inakuaje ila baadae nikapuuziaSifa na utukufu ni kwako Bwana Yesu. Hakika Yesu unastahili kuabudiwa wewe pekee. Ila baaada ya kuangalia hii video kuna vitu vimenichanganya. Kabla ya kuangalia hii video, nilikuwa nafahamu kwamba mtu akiwa anafanyiwa au kutolewa mapepo huwa anakuwa sio yeye tena au hajitambui. Pia mara nyingi huwa anakuwa hana ufahamu wa mambo yanayo endelea kwenye zoezi zima, ndio maana mara nyingi watu wanao pagawa mapepo ujirusha rusha wengine paka wana jijeruhi basipo kujuwa. Wengine uchana mavazi na kubaki uchi pia hata kupigana na kutukana watumishi wa Mungu pasipo kufahamu.
Ukiangalia hii video, kuanzia 0.22 paka 0.23 unaweza kuona kama Rose anajaribu kushusha gauni au nguo chini kujisitiri. Tena 1.45 paka 1.48 Unaweza kuona kama mchungaji anamkandamiza kwa nguvu Rose mdomoni, lakini Rose anajaribu kumwondoa mkono mchungaji. nadhani hii ni ishara kwamba " tafadhali unaniumiza". Pia 2.00 paka 2.01 kuna mhudumu amemtupia Rose kitu kama khanga, alafu Rose akajaribu kama kuivuta kwa juu ili kujisitiri. Baada ya kusema hivyo, sina shaka dada yetu Rose alikuwa anajielewa kwenye zoezi zima. Je kitu kama hichi kinaweza kutokea? mtu kupagawa mapepo na wati huo huo kujitambua!
Nakaribisha watumishi wote na watu wenye uwelewa kwenye hii mada.