Cha muhimu umeelewa,nani akuambia naandika thesis hapa so lazima niwe sahihi 100perce?Ferme ta gueule.You're too beautiful to write this broken . Kiswahili ni lugha ya Taifa.
hahaaa eti vita vita kwa huyo tapeli kila mtu anaelewaWatumishi wa Mungu huwa wanakua na vita sana haswa waimbaji.
Kwa sababu shetani anajua akifanikiwa kumshusha kiimani basi hata wale aliokuwa anawatumikia watashuka pia.
So mnapaswa muwaombee na sio kuwasengenya bz hata hivyo hakuna aliye mtakatifu zaidi ya Mwenyenzi Mungu.