Rose Muhando akamatwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli wanakwaya

Rose Muhando akamatwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli wanakwaya

Watumishi wa Mungu huwa wanakua na vita sana haswa waimbaji.
Kwa sababu shetani anajua akifanikiwa kumshusha kiimani basi hata wale aliokuwa anawatumikia watashuka pia.
So mnapaswa muwaombee na sio kuwasengenya bz hata hivyo hakuna aliye mtakatifu zaidi ya Mwenyenzi Mungu.
 
hahaaa eti vita vita kwa huyo tapeli kila mtu anaelewa
 
Jamani kubomoa "BRAND" ya mtu sio viziri kwani amaijenga kwa muda mrefu cc Nape.
 
Rose aje Kenya tutamsaidia kwa kuwa ametutumbuiza siku nyingi sana. Hii mashinda na haibu ndogo ndogo hazifai kwa manamziki mwenye tahadhima kama huyu.
 
Haya sasa na waseme kama ndio wafundishwavyo yaani kuimba kote huko na Yesu kumbe ndio hivyo duh pesa kiboko
 
Katika waimba nyimbo za injili woooote huyu mama ndio anashitakiwa kila sikumkwa utapeli
 
Back
Top Bottom