The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Watumishi wa Mungu huwa wanakua na vita sana haswa waimbaji.
Kwa sababu shetani anajua akifanikiwa kumshusha kiimani basi hata wale aliokuwa anawatumikia watashuka pia.
So mnapaswa muwaombee na sio kuwasengenya bz hata hivyo hakuna aliye mtakatifu zaidi ya Mwenyenzi Mungu.