Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoka usingizini mpendwa?Unatafuta umaarufu kupitia majinaya walio maarufu. Bila shaka unataraji story yako itasomwa na wengi sabbu ya Jina la Rose muhando..
lakini jiulize je ina mashiko? Umesema Rose yupo kanisani kwanini wasimfuatae.inasikitisha sana pale watu wanapotumia majina ya wengine ili kutangaza biashara zao .huyo Nuru salehe.. ndio nani? Ana hadhi gani katika Taifa hili?
Lete yako yenye hadhi tuione mkuu.Hii habari haina hadhi wala viwango vya kuletwa hapa JF.
Upuuzi mtupu.
Naona unafurahia biashara ya madawa ya kulevya na siyo athari zake. Ni hivi karibuni, pia, ulikuwa unashutumu kitendo cha kuwaachia waliokamatwa kwa matumizi ya madawa. Unaeleweka msimamo wako.Kumlazimisha mtu kwenda sober house ni sawa na kutia mgomba.
Sio kile chama cha kufoji mambo ya elimu? Maana mungu wa mkoa kafoji jina liendane na cheti cha mtu. Mkubwa wake ndio tena mpaka thesis yake ya PhD one to one na ya mtu mwingine wa darasa hilo hilo. Inasemekana katika kudesa wamejikuta wote wamedesa ya mtu mmoja.Dr sioni ubaya..hata chadema wanafurahi na huwapokea kwa mikono miwili
Hii habari haina hadhi wala viwango vya kuletwa hapa JF.
Upuuzi mtupu.
kwa mawazo haya we bado unakaa kwa shemeji yakoAtakuwa amekimbilia chadema
Sijatoka usingizi ila naona kuna watu wanataka kijitangaza na kutangaza shughuli zao kupitia.majina ya wenzao.Umetoka usingizini mpendwa?
Hii habari imeletwa hapa jf ikiwa na source siyo ya kubumba mbona kama naona kifua kinataka kukubana kulikoni?
Ni kipi kinakufanya presha ipande namna hiyo?
Tatizo likowapi?kwa mawazo haya we bado unakaa kwa shemeji yako
Kwnn huamn mkuu, kwan rose n nan hata asiweze kutumia hyo kitu..!Sijatoka usingizi ila naona kuna watu wanataka kijitangaza na kutangaza shughuli zao kupitia.majina ya wenzao.