Rose Muhando anasakwa na uongozi wa sober house ya PEDEREF

Rose Muhando anasakwa na uongozi wa sober house ya PEDEREF

Dah maisha haya na shida zote alizopitia kabla ya kujulikana katika kilele cha mafanikio yake ndio akaingia kwenye unga

Shetani una mengi ya kujibu siku za mwisho
 
"Kisa wanachati" facebook facebook twiter, wanageuza dini biashara hayo ndo malipo jiunge na chigbenz
 
Daaah! Imeniuma sana!!! Sa utamu wa Yesu anawahubiria wengine yeye alikua haufaidi mpaka kujiingiza kwenye madawa!!!? Mungu amsaidia.
Pole sana kwa maumivu bibie..ndio hivyo tena yeye utamu wa yesu kaukimbia kaamua kuwa zezeta wa dunia
 
Hivi MTU kama huyo rose kaingiaje KWENYE KUVUTA?au alishikiwa BUNDUKI? avute?
Mkuu soma characteristics za cocaine unajua kwa nini wasanii wanaitumia.
America ya kusini Hili zao lilikuwa linatumika locally kuwafanya watu wafanye kazi kwa bidii.
Ni Coca plant ambayo wajanja wakaja kuifanya large scale production na kuiuza.

Ukitumia hiyo Kitu huchoki.
Utacheza na kukata viuno vya utamu wa Yesu mpaka mwisho.
Muda wote unajisikia na nguvu Kuliko ulivyoanza.
 
Ni kweli lakini hii wanayovuta hawa...si ile cocaine.... Hawa wanavuta heroine... Hii ni mbaya sana....hii ni albadiri ya KIHINDI... Ukianza utajificha lakini muda unavyozidi kusonga UTAJULIKANA TU...kama unatumia... Hii haijifichi...tofauti na COCAINE..
 
Daaah! Imeniuma sana!!! Sa utamu wa Yesu anawahubiria wengine yeye alikua haufaidi mpaka kujiingiza kwenye madawa!!!? Mungu amsaidia.

Atakuwa ali-confuse ule utamu kwa sababu ya kuwa under influence of 'unga'.
 
Hivi MTU kama huyo rose kaingiaje KWENYE KUVUTA?au alishikiwa BUNDUKI? avute?

Labda wanawaekea kwenye vinywaji au chakula au mic bila wao kujua na baadae kuomba chakula au kinywaji kama cha jana yake. Na mwisho wa siku kuambiwa viungo vya hivyo vyakula na vinywaji.
 
Ni kweli lakini hii wanayovuta hawa...si ile cocaine.... Hawa wanavuta heroine... Hii ni mbaya sana....hii ni albadiri ya KIHINDI... Ukianza utajificha lakini muda unavyozidi kusonga UTAJULIKANA TU...kama unatumia... Hii haijifichi...tofauti na COCAINE..
Mwenye Enzi Mungu tuepushe sisi na vizazi vyetu! Heroine the most addictive drug in the world! Masikini rose muhando!
 
Mkuu dunia haina siri ndo maana kuna wengine walitajwa wauzaji leo wamejenga defence mechanism ya kutoa mapovu kanisani lakini mwenyezi mungu akiamua kukuumbua anakuumbua tu
Umeanza vizuri ukamaliza kwa kuhororoja
 
Naona unafurahia biashara ya madawa ya kulevya na siyo athari zake. Ni hivi karibuni, pia, ulikuwa unashutumu kitendo cha kuwaachia waliokamatwa kwa matumizi ya madawa. Unaeleweka msimamo wako.
acha akili za kibashite-bashite

sober house sio jela, kama muhusika hajaridhia kwenda sober house mkapeleka kwa nguvu atarudi tu mtaani kula unga.

narudia tena, kumlazimisha mtu kwenda sober house ni sawa na kutia mgomba.
 
Nlikujaga na uzi wangu kuhusu rose mhando nkaishiwa kushambuliwa tu ...

Ova
 
Back
Top Bottom