Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Utaka kuudhihilishia uma kuwa chadema imekuwa dampo la taka siyo?
Mwaka huu hakika tutaona mengi.
Kama naanza kukuelewa mkuu....Kama sugu yuko huko....ganja mani,wema yuko huko teja women,Gwajima naye huko kanjanjaman,Lowasaa huko fisadi man....Rose atashindwa vipi naye kujiunga nao?.
Pole sana kwa maumivu bibie..ndio hivyo tena yeye utamu wa yesu kaukimbia kaamua kuwa zezeta wa duniaDaaah! Imeniuma sana!!! Sa utamu wa Yesu anawahubiria wengine yeye alikua haufaidi mpaka kujiingiza kwenye madawa!!!? Mungu amsaidia.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂 pamoja sana mkuuMkuu,
Ni kuachana tu na huu upuuzi unaoendelea hapa, salam zao Malta mkuu.
Kaka ...
Mkuu soma characteristics za cocaine unajua kwa nini wasanii wanaitumia.Hivi MTU kama huyo rose kaingiaje KWENYE KUVUTA?au alishikiwa BUNDUKI? avute?
Ni kweli lakini hii wanayovuta hawa...si ile cocaine.... Hawa wanavuta heroine... Hii ni mbaya sana....hii ni albadiri ya KIHINDI... Ukianza utajificha lakini muda unavyozidi kusonga UTAJULIKANA TU...kama unatumia... Hii haijifichi...tofauti na COCAINE..Mkuu soma characteristics za cocaine unajua kwa nini wasanii wanaitumia.
America ya kusini Hili zao lilikuwa linatumika locally kuwafanya watu wafanye kazi kwa bidii.
Ni Coca plant ambayo wajanja wakaja kuifanya large scale production na kuiuza.
Ukitumia hiyo Kitu huchoki.
Utacheza na kukata viuno vya utamu wa Yesu mpaka mwisho.
Muda wote unajisikia na nguvu Kuliko ulivyoanza.
Daaah! Imeniuma sana!!! Sa utamu wa Yesu anawahubiria wengine yeye alikua haufaidi mpaka kujiingiza kwenye madawa!!!? Mungu amsaidia.
Hivi MTU kama huyo rose kaingiaje KWENYE KUVUTA?au alishikiwa BUNDUKI? avute?
Mwenye Enzi Mungu tuepushe sisi na vizazi vyetu! Heroine the most addictive drug in the world! Masikini rose muhando!Ni kweli lakini hii wanayovuta hawa...si ile cocaine.... Hawa wanavuta heroine... Hii ni mbaya sana....hii ni albadiri ya KIHINDI... Ukianza utajificha lakini muda unavyozidi kusonga UTAJULIKANA TU...kama unatumia... Hii haijifichi...tofauti na COCAINE..
Mhh!Napenda anavyo kataga mauno kwa YESU
Umeanza vizuri ukamaliza kwa kuhororojaMkuu dunia haina siri ndo maana kuna wengine walitajwa wauzaji leo wamejenga defence mechanism ya kutoa mapovu kanisani lakini mwenyezi mungu akiamua kukuumbua anakuumbua tu
acha akili za kibashite-bashiteNaona unafurahia biashara ya madawa ya kulevya na siyo athari zake. Ni hivi karibuni, pia, ulikuwa unashutumu kitendo cha kuwaachia waliokamatwa kwa matumizi ya madawa. Unaeleweka msimamo wako.
Inshaalah... AmeenMwenye Enzi Mungu tuepushe sisi na vizazi vyetu! Heroine the most addictive drug in the world! Masikini rose muhando!