Rose Muhando anasakwa na uongozi wa sober house ya PEDEREF

Kwa taarifa za namna hii, huyu nae si anastahiki kutiwa mbaroni na baada ya vipimo apelekwe mahakamani?
 
Umetoka usingizini mpendwa?
Hii habari imeletwa hapa jf ikiwa na source siyo ya kubumba mbona kama naona kifua kinataka kukubana kulikoni?
Ni kipi kinakufanya presha ipande namna hiyo?
 
Ala ngoja tusubiri kama habari hii ni ya kweli ama la!
 
Kumlazimisha mtu kwenda sober house ni sawa na kutia mgomba.
Naona unafurahia biashara ya madawa ya kulevya na siyo athari zake. Ni hivi karibuni, pia, ulikuwa unashutumu kitendo cha kuwaachia waliokamatwa kwa matumizi ya madawa. Unaeleweka msimamo wako.
 
Yani umarufu WA wasanii sijui kwann wanautumia vibaya au Nani huwaingiza kwenye unga au kishika pesa ukubwani kunichangia kujaribu kila kitu
 
Dr sioni ubaya..hata chadema wanafurahi na huwapokea kwa mikono miwili
Sio kile chama cha kufoji mambo ya elimu? Maana mungu wa mkoa kafoji jina liendane na cheti cha mtu. Mkubwa wake ndio tena mpaka thesis yake ya PhD one to one na ya mtu mwingine wa darasa hilo hilo. Inasemekana katika kudesa wamejikuta wote wamedesa ya mtu mmoja.
 
Daaah! Imeniuma sana!!! Sa utamu wa Yesu anawahubiria wengine yeye alikua haufaidi mpaka kujiingiza kwenye madawa!!!? Mungu amsaidia.
 
Umetoka usingizini mpendwa?
Hii habari imeletwa hapa jf ikiwa na source siyo ya kubumba mbona kama naona kifua kinataka kukubana kulikoni?
Ni kipi kinakufanya presha ipande namna hiyo?
Sijatoka usingizi ila naona kuna watu wanataka kijitangaza na kutangaza shughuli zao kupitia.majina ya wenzao.
 
Hivi MTU kama huyo rose kaingiaje KWENYE KUVUTA?au alishikiwa BUNDUKI? avute?
 
Sijatoka usingizi ila naona kuna watu wanataka kijitangaza na kutangaza shughuli zao kupitia.majina ya wenzao.
Kwnn huamn mkuu, kwan rose n nan hata asiweze kutumia hyo kitu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…