Rose Muhando kusilimu

Kabla ya yote naomba kujua kaolewa?
 
MUNGU HAJAWAHI KUDHIHAKIWA ALIDHANI AMEPATA KICHAKA CHA KUFICHA UFUSKA WAKE, SHETANI BHANA AJAWAHI SAMEHE DENI ALIMKOPESHA KWA UONGO WAKE WA ULOKOLE FAKE SASA ANAHITAJI MALIPO YAKE.
 
Uyu sialionja utamu wa yesu
Au zilikua figisu tu
 
Katika Dini ya kiislam murtadi(alietoka) Hukmu yake ni kifo.Kwa mantiki hiyo huyu hukmu yake ni kifo.Akitubia ni sawa lakini ili aipate pepo basi kosa hili la msingi kwanza atiwe upanga.
Dini za mapokeo bwana...
 
Sounds like crap to me.

Why not asikae kimya, amtafute Mungu ndani ya moyo wake.... atafute jibu in the midst of all her confusion then she finally seeks the Light without blame shifting.

Media ya nini?
 
Jamani! Huyu dada huwa nampenda sana na naumizwa sana na habari kama hizi [emoji17]
Si kweli hizi habari ni hila za Alex msama wa msama promoters tu.. ni baada ya dada kutambua haki zake wakati wa matamasha
 
Huyu mama nilikutana nae huko swaswa mkoani Dodoma, Ila kilicho nishangaza alikua amelewa kuliko nilivyokua nimelewa mimi
Inawezekana alichanganya Ngada na Jibapa, nasikia anakula sana Ngada.
 
Mkuu hili jina lako lilijitype lenyewe au n simu ilikua na virus? Mana hata mganga wa kienyej halitamk kizembe zembe, Unaweza ukaongea na Melo mkuu wanalekebisha majina yaliyokosewa
Na wewe rekebisha hapo kwenye red.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…