Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Huyu mama nilikutana nae huko swaswa mkoani Dodoma, Ila kilicho nishangaza alikua amelewa kuliko nilivyokua nimelewa mimi
Hahaaaaa
Hivi ni kweli anatumia drugs?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama nilikutana nae huko swaswa mkoani Dodoma, Ila kilicho nishangaza alikua amelewa kuliko nilivyokua nimelewa mimi
Kabla ya yote naomba kujua kaolewa?![]()
Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.
"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL
Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
Kweli na wanasemaga mwanamke hana diniArudi /asirudi yote ni maisha yake achague anachoona kinamfaa.
Nikweli mkuu, kwajinsi nilivyo tumia kipimo cha macho..... Akili yangu ilinijibu kwamba ni mshirika wa kile chama cha akina Vanessa na ChidBenzHahaaaaa
Hivi ni kweli anatumia drugs?
Nikweli mkuu, kwajinsi nilivyo tumia kipimo cha macho..... Akili yangu ilinijibu kwamba ni mshirika wa kile chama cha akina Vanessa na ChidBenz
ila humpendi kuliko forex![emoji125][emoji125][emoji125]Jamani! Huyu dada huwa nampenda sana na naumizwa sana na habari kama hizi [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hili jina lako lilijitype lenyewe au n simu ilikua na virus? Mana hata mganga wa kienyej halitamk kizembe zembe, Unaweza ukaongea na Melo mkuu
MUNGU HAJAWAHI KUDHIHAKIWA ALIDHANI AMEPATA KICHAKA CHA KUFICHA UFUSKA WAKE, SHETANI BHANA AJAWAHI SAMEHE DENI ALIMKOPESHA KWA UONGO WAKE WA ULOKOLE FAKE SASA ANAHITAJI MALIPO YAKE.![]()
Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.
"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL
Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
Duh!!!Sasa alifikiri ukristo ni mteremko? Kristo mwenyewe alisulubiwa msalabani. Masimango ya wanadamu ni mambo ya kawaida kabisa.
Ohoooo...[emoji13][emoji13]ila humpendi kuliko forex![emoji125][emoji125][emoji125]
Dini za mapokeo bwana...Katika Dini ya kiislam murtadi(alietoka) Hukmu yake ni kifo.Kwa mantiki hiyo huyu hukmu yake ni kifo.Akitubia ni sawa lakini ili aipate pepo basi kosa hili la msingi kwanza atiwe upanga.
Si kweli hizi habari ni hila za Alex msama wa msama promoters tu.. ni baada ya dada kutambua haki zake wakati wa matamashaJamani! Huyu dada huwa nampenda sana na naumizwa sana na habari kama hizi [emoji17]
Inawezekana alichanganya Ngada na Jibapa, nasikia anakula sana Ngada.Huyu mama nilikutana nae huko swaswa mkoani Dodoma, Ila kilicho nishangaza alikua amelewa kuliko nilivyokua nimelewa mimi
Na yeye asingeleta uamuzi wake humu. Watu wangemwona amesilimu tu.Dini ya mtu ni personal issue. It is not a subject for discusion
Na wewe rekebisha hapo kwenye red.Mkuu hili jina lako lilijitype lenyewe au n simu ilikua na virus? Mana hata mganga wa kienyej halitamk kizembe zembe, Unaweza ukaongea na Melo mkuu wanalekebisha majina yaliyokosewa