Rose Muhando kusilimu

Kama kuna mtu yeyote anayeingia kwenye dini fulani ili kutaka kupata upendo toka kwa binadamu basi mtu huyo anaweza kuhana dini zote na asipate anachokitaka!

Mtumikie Mungu ili upate upendo toka kwake coz yeye ndiye mmiliki wa hii dunia na ndiye atakayetoa hukumu siku ya malipo,

Huwezi kupendwa na watu wote au kuchukiwa na watu wote,huwezi kumridhisha binadamu hata ufanye lipi! Mtumikie Mungu pekee ili upate malipo toka kwake.
 
hakika!
 
Aangalie wapi alipoangoka na akatubu maana kwa kauli hii atakuwa hamjui anayemwamini.

Kama Yesu mwenyewe alikataliwa na kuhukumiwa na watu wa dini, yeye ni nani hata asiguswe?

Vv
 
Umeona vema mkuu, hata huko US wasanii wengi tu mara nyingine huamua kutoa single za Gospel huku waliendelea na maisha ya ukora.

Vv
 
Rose asifikil dini nikama siasa
 
kanisa ni moja tu, Takatifu Katoliki...

angekuwa huki asingejuta..
 
mtu mjinga zaidi duniani ni yule aaminiye ktk dini hizi!!
 
Huko si ndio dini yake ya mwanzo arudi tu kweli nimeamini ukifulia utamuona kila mtu mbaya alivyokuwa na mahela yake kila siku shuhuda kuhusu ukristo
 
 
Ukiona ukristo wako ni mpaka watu wakupende, ujue haujakutana na Yesu bado, umekutana na watu tu
kweli, angemwangalia yule aliyekuwa anamshuhudia kuwa alimponya ndo akaingia ukristo, hata angekutana na mashuti ya namna gani angeyapangua, maana anasema Vita si ya kwako ni ya Bwana,
 
Sinasikiaga alikua muislam kabla ya kuja kwenye ukristo?
 
Ukiona mambo yamekuwa magumu jua MUNGU Anatengeneza njia, hata wana wa israel waliteseka sana lakini baadaye..........?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…