Rose Muhando kusilimu

Rose Muhando kusilimu

Kama kuna mtu yeyote anayeingia kwenye dini fulani ili kutaka kupata upendo toka kwa binadamu basi mtu huyo anaweza kuhana dini zote na asipate anachokitaka!

Mtumikie Mungu ili upate upendo toka kwake coz yeye ndiye mmiliki wa hii dunia na ndiye atakayetoa hukumu siku ya malipo,

Huwezi kupendwa na watu wote au kuchukiwa na watu wote,huwezi kumridhisha binadamu hata ufanye lipi! Mtumikie Mungu pekee ili upate malipo toka kwake.
 
Kama kuna mtu yeyote anayeingia kwenye dini fulani ili kutaka kupata upendo toka kwa binadamu basi mtu huyo anaweza kuhana dini zote na asipate anachokitaka!

Mtumikie Mungu ili upate upendo toka kwake coz yeye ndiye mmiliki wa hii dunia na ndiye atakayetoa hukumu siku ya malipo,

Huwezi kupendwa na watu wote au kuchukiwa na watu wote,huwezi kumridhisha binadamu hata ufanye lipi! Mtumikie Mungu pakee ili upate malipo toka kwake.
hakika!
 
Aangalie wapi alipoangoka na akatubu maana kwa kauli hii atakuwa hamjui anayemwamini.

Kama Yesu mwenyewe alikataliwa na kuhukumiwa na watu wa dini, yeye ni nani hata asiguswe?

Vv
 
Rose Muhando hajawahi Sena popote kuwa kaokoka yeye ni msanii wa nyimbo za injili sio mwimbaji wa nyimbo za injili mdaini wa nyimbo za injili aweza kuwa mpagani,mwislamu au ambaye dini kwake sio kitu sana Hawa huuza Sanaa zao Kwa bei ya kuruka ni wauzaji wa Sanaa zao.Na hawajifichi Wana hadi chama chao cha wasanii wa nyimbo za injili wengi wao hata makanisa hawana wanakosali Na wengi hawaendi kanisani labda wawe wamealikwa kuimba
Umeona vema mkuu, hata huko US wasanii wengi tu mara nyingine huamua kutoa single za Gospel huku waliendelea na maisha ya ukora.

Vv
 
me_400x400.jpg

Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
Rose asifikil dini nikama siasa
 
kanisa ni moja tu, Takatifu Katoliki...

angekuwa huki asingejuta..
 
mtu mjinga zaidi duniani ni yule aaminiye ktk dini hizi!!
 
Huko si ndio dini yake ya mwanzo arudi tu kweli nimeamini ukifulia utamuona kila mtu mbaya alivyokuwa na mahela yake kila siku shuhuda kuhusu ukristo
 
me_400x400.jpg

Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?[/QU
 
Ukiona ukristo wako ni mpaka watu wakupende, ujue haujakutana na Yesu bado, umekutana na watu tu
kweli, angemwangalia yule aliyekuwa anamshuhudia kuwa alimponya ndo akaingia ukristo, hata angekutana na mashuti ya namna gani angeyapangua, maana anasema Vita si ya kwako ni ya Bwana,
 
Sinasikiaga alikua muislam kabla ya kuja kwenye ukristo?
 
Back
Top Bottom