Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Kila Mkristo atambue hili. Ukimkiri Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako, tayari umetangaza vita na shetani na mawakala wake.

Ni kweli hata mimi yamenikuta sisi wakristo especially tuliookoka ni wanafiki saana. ..yaani ukristo wa siku hizi hauna upendo ni vita tu
 
Ukristo si lLelemama Ukristo ni Msalaba ni kujitoa Ukipigwa shavu la kulia unageza na shavu la kushoto,Mtu akikunyang'anya kibaragashia mpe na Kanzu kabisa na mtu akikulazimisha kwenda kilomita moja basi nenda naye kilomita mbili.Hivyo Rose kama ameshindwa na kuamua kula Matapishi yake Mwenyewe basi tumuachie mwenyewe aamue kusuka au kunyoa kulikoni kuwa Malaya wa Ki-DINI.

Hahahaha mkuu ni zamani mimi mtu akipiga la kushoto narudisha m a Christian ila sio mbuzi wa kafara
 
Kakobe ndio nani?.
Na ana mamlaka gani ya kulaani?

Kakobe ni another pathetic preacher who preached what he couldn't practice. ..

So hata afufue wafu hanisumbui namshangaa rose muhando kama ataaanguka kwa ajili ya hao so called preachers ..yeye amuangalie mungu "biblia inasema muogopeni yule awezae kungamiza roho na kuitupa kwenye mauti ya milele"
 
We nawe.
 
Shauri yako mkuu kama utahangaishwa na hao mafarisayo na masadukayo. ..kazi yao ni kuhukumu hawana jipya by the way Yesu hakuja kwa ajili ya watu wema Bali wenye zambi ili wapate kutubu na wawe na uzima "naam uzima kwelikweli"
 
Wap ray c akamsaidie huyu dada kasha luz focus, chezea unga...
 
Duh!! Kumbe amekumbwa na tabia ya utapeli? Inawezekana alijipeleka kwenye Ukristo ili kuvuna kitu ambacho kwa bahati mbaya kimekosekana.

Ila Skendo za utapeli kumhusu zimevuma sana kwa kweli, na pia kwa mtazamo wangu amepoteza mvuto kwenye nyimbo za Injili.

Rudi tu Mama ulikotoka sasa sijui utaimba nini huko tena.
 
Naona ajitu athimini upya juu ya maisha yake, ajiangalie wapi naye amekwanza wenzake kabla ya kulaumu. UPENDO pekee unatoka kwa Mungu, kama Yesu alivyosema kwenye kitabu cha Yohana 13.1 Yeye Yesu pekee ndiye aliyetupenda UPEO na hakuna mwingine atakayeweza kufanya hivyo. Kwenye wokovu tunamwangalia YESU KRISTO kama roal mode wetu si mwanadamu, kila mwanadamu ana mapungufu yake kama yeye pia alivyo. Muhimu na cha msingi kwenye maisha ya wokovu ni kumwangalia Kristo Yesu ndicho kipimo pekee cha mwanadamu.
 
Huyu mwanamke anapitia kipindi kigumu sana tumuombee.
 
Duh!! Kumbe amekumbwa na tabia ya utapeli? Inawezekana alijipeleka kwenye Ukristo ili kuvuna kitu ambacho kwa bahati mbaya kimekosekana.

Ila Skendo za utapeli kumhusu zimevuma sana kwa kweli, na pia kwa mtazamo wangu amepoteza mvuto kwenye nyimbo za Injili.

Rudi tu Mama ulikotoka sasa sijui utaimba nini huko tena.
Mzee baba umefukua kaburi huu uzi ni old skul
 
Ebu ngojen kwanza
Uyu c ndio aliimba "yesu nibebe yesu nibebe yesu nibembeleze"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Mungu akusaidie sana dada rose.......nimesikitika sana, jameni ni vema tuseme masaibu yanayo tukumba mapema kabla hayaja kolea.
 
Back
Top Bottom