Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Kwani kuwa mkristo ni ww kutendewa mema au kumshiba yesu then akushindie majaribu ?? KWA sbb hiyo aliingia ukristo kwaajili ya watu sio kumfuata kristo.
 
aliingia ktk ukristo kwa tamaa ya maisha tu sio ukweli wa imani sasa kashapiga pesa mambo yke fresh anarudi kwenye imani yke ya kweli
 
Hata kwenye uislam hawatakiwi matapeli, watoa mimba na wakata viuno kwenye nyumba za ibada, amuulize Kingunge huko kwake kama hayo yanakubaliwa akajiunge huko.
 
rose muhando mkaguru wa morogoro pande za dumila alikuwa rafk wa marehem dada yangu walikuwa wanaimba pamoja ila kabla hajaokoka rose n muimbaj mzur sna ila tatzo hajatulia kanisa lilomkuza n anglikana la dumila ndio alipokuwa akiimba na nymbo za album yke yote ya kwanza alitungia hapo kabla ya kupata umaarufu na kuamia dodoma
 
nakumbusha ktk uslam wake aliwahi Kuwa maaruf mtaani kwetu kwa jina la Sikudhani Juma..maustazat mwaombwA kumpokea..?!
 
Ukristo wenyewe mlimuahidi kuwa ukimpiga mtu kofi kushoto anageuza la kulia, yaani akichukua pesa na asije jukwaani, basi kesho yake atumiwe pesa nyingine, lakini cha ajabu sasa mnamgeuka...nenda zako mwaya.
 
ukristo hautaki mtu wa vuguvugu unataka mtu awe moto au baridi kama kweli kasema ina maana yeye ni vuguvugu tayari atoke tu kwenye kundi sio mfano mzuri
 
Arudi kwenye dini ya kweli na haki!
dini inayomtambua mungu mmoja tu,
Mungu asiyekuwa na mshirika hata,
muhammad ni mjumbe wake,
Mungu asiyezaliwa wala kuumbwa,munguasiyezaa,

Mungu ambae anasamehe,ukitubu kwa dhati

Allah anasamehe?
 
Unamtishia nani nenda tu hata usipoaga kwani utakufa na sisi..!?
 
Uzuri wa ukristo ni kwamba hushikiwi panga wala kukatwa kiungo unapokimbia nyumba ya Bwana.

Zaidi tu utaombewa ili urudi njia kuu.

Btw, akiyarudia matapishi, ni uamuzi wake. Kila mtu atahukumiwa kwa alilolitenda.
 
Allah anasamehe?

Mungu ni kiswahili,God kiingereza,Allah ni kiarabu kumaanisha hichohicho ambacho kiswahili kimemaanisha.
Na Allah ndiyo mwenye kutoa neema ndogondogo kama za kina Bakhresa hapa duniani,na ndiye mwenye kutoa kubwa huko akhera.
Hata ndoto za mabomba ya maziwa huko zinatimia.
Kwakuwa yeye ndiye muumba,pia ndiye mwenye kusamehe kwa dhambi ulizofanya duniani.
maana mungu hakuumba ili uje kutanua,aliumba ili umuabudu na baada ya ibada ukatafute maisha pamoja na mali,lakini watu wametanguliza mali,mungu baadae
NAAM ALLAH ANASAMEHE MWENYE KUTUBU-(kujibu swali lako)
 
asije abaki huko huko walipompokea kwa vigeregere waislam hatutaki mtu wa tabia zake labda abadilike, utapeli si sifa nzuri kwa muislam

muislam akibadili dini anahesabiwa ni MFU,huyo Rose ameshakufa hayuko katika walioamini.
Halafu si ni MTEJA Huyo!alimchukiza mungu na sasa ghazab zake anapata hapa hapa duniani kwanza
 
aende zake ashachuma za kutosha kwa kuvuli cha ukristo! ila ile sauti sio ya kaswida au naenda kuimba bongo fleva?
 
Back
Top Bottom