Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mziki wa injili una majungu sana, watu wanataka uwaimbie kavu kavu bila hata kifuta jasho wakat gharama za kurekodi ni ningi kuliko.
Waimbaji wa injili wametengwa na mfumo wanaonekana hawana Mungu pamoja na majungu mengi.
Kwa challenges kama hizo ni vigumu sana kwa mtu mwenye roho nyepesi kustahili mfano tu ni pale Rose alipobeba tuzo ya KITMA walokole wenzake wakaanza majungu ooh mara tuzo za walevi sijui nini.
Rose usirudi Misri tafadhali, bakia Kanani Mungu atakutokea kwa njia ya tofauti ila ukithubutu kurudi misri HAKIKA #UTAKUFA .
Laana ya Kakobe ishaanza kumtafuna dada Rose. Kumbe ndiyo maana ulikuwa unaimba kwa style za kurukaruka kama watu wa mataifa eee???
Hujui kuwa Neema ya Bwana Yesu ndo imekufikisha hapo ulipo?? ulipo kuwa huko kwa wavaa hijab kipaji chako kilijulikana na nani? na kilikukunufaisha vipi?
Mziki wa injili una majungu sana, watu wanataka uwaimbie kavu kavu bila hata kifuta jasho wakat gharama za kurekodi ni ningi kuliko.
Waimbaji wa injili wametengwa na mfumo wanaonekana hawana Mungu pamoja na majungu mengi.
Kwa challenges kama hizo ni vigumu sana kwa mtu mwenye roho nyepesi kustahili mfano tu ni pale Rose alipobeba tuzo ya KITMA walokole wenzake wakaanza majungu ooh mara tuzo za walevi sijui nini.
Rose usirudi Misri tafadhali, bakia Kanani Mungu atakutokea kwa njia ya tofauti ila ukithubutu kurudi misri HAKIKA #UTAKUFA .
Mkuu mbona wakina Diamond na Kiba wako huko huko kwa wavaa hijab? Vipaji vyao vilionekana na nani? Na ndio wasanii wanaoongoza kushabikiwa humu JF na Tanzania kwa ujumla.Acha matusi mwana kwa imani za wenzako.Wewe kama unamsema Rose mseme tu lakini usitukane na imani za wengine mkuu.ulipo kuwa huko kwa wavaa hijab kipaji chako kilijulikana na nani? na kilikukunufaisha vipi?
We mbwiga kweli hupend kuongelea udin, huku unakumbatia udini. Ovyooo
Karibu sana katika dini ya haki yeye makatazo mengi yasiyo na mvutoo
Kwa utapeli huo.......chaaa.......aende tu........