Kila Mkristo atambue hili. Ukimkiri Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako, tayari umetangaza vita na shetani na mawakala wake.
Ukristo si lLelemama Ukristo ni Msalaba ni kujitoa Ukipigwa shavu la kulia unageza na shavu la kushoto,Mtu akikunyang'anya kibaragashia mpe na Kanzu kabisa na mtu akikulazimisha kwenda kilomita moja basi nenda naye kilomita mbili.Hivyo Rose kama ameshindwa na kuamua kula Matapishi yake Mwenyewe basi tumuachie mwenyewe aamue kusuka au kunyoa kulikoni kuwa Malaya wa Ki-DINI.
Kakobe ndio nani?.
Na ana mamlaka gani ya kulaani?
Hata akirudi hatawafaa kitu maana yeye anaangalia maslahi tu.
We nawe.Kakobe ni another pathetic preacher who preached what he couldn't practice. ..
So hata afufue wafu hanisumbui namshangaa rose muhando kama ataaanguka kwa ajili ya hao so called preachers ..yeye amuangalie mungu "biblia inasema muogopeni yule awezae kungamiza roho na kuitupa kwenye mauti ya milele"
We nawe.
We nawe.
Acha uongo
Mzee baba umefukua kaburi huu uzi ni old skulDuh!! Kumbe amekumbwa na tabia ya utapeli? Inawezekana alijipeleka kwenye Ukristo ili kuvuna kitu ambacho kwa bahati mbaya kimekosekana.
Ila Skendo za utapeli kumhusu zimevuma sana kwa kweli, na pia kwa mtazamo wangu amepoteza mvuto kwenye nyimbo za Injili.
Rudi tu Mama ulikotoka sasa sijui utaimba nini huko tena.