Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
we ni msafi?😳usihukumu mtu waweza kuta yeye ni msafi kuliko wewe🤒Mbaya zaidi wanafanya kolabo na wasanii wachafu
Ulichoeleza na alichoeleza ni vitu viwili tofauti, mboni ameeleweka bila hata kusumbua akiliKila kitu ni biashara.
Rose Muhando produsa wake Marlon Linje au Master J ni waokovu? Wanakula kilaji ndio wanapika mabiti na kufanya mixing, sasa kama hao ni wa kidunia, je wanachokitengeneza kinakua cha kiungu? Wanaotengeneza computers, soundcards nk, wameokoka? Je, vifaa vyilivyotengenezwa na watu wa kidunia, vinaweza kutoa muziki wa kimbingu?? Ya Kaisari apewe kaisari
Hili andiko linaingiaje kwenye hii ishuYesu Kristo wakati akiingia Yerusalemu kwa ushindi (siku ya Matawi). Umati wa wanafunzi na watu ulikuwa ukimsifu na kumtukuza Mungu kwa sauti kuu. Mafarisayo walipomwambia Yesu awakanye wanafunzi wake wasipige kelele, Yesu aliwajibu kwamba hata watu wakinyamaza, uumbaji wenyewe (mawe) utapaza sauti kumtukuza.
Luka 19:40
Umechanganya vitu viwili tofauti, rudi ujue kusudi la mwimbaji ni niniKila kitu ni biashara.
Rose Muhando produsa wake Marlon Linje au Master J ni waokovu? Wanakula kilaji ndio wanapika mabiti na kufanya mixing, sasa kama hao ni wa kidunia, je wanachokitengeneza kinakua cha kiungu? Wanaotengeneza computers, soundcards nk, wameokoka? Je, vifaa vyilivyotengenezwa na watu wa kidunia, vinaweza kutoa muziki wa kimbingu?? Ya Kaisari apewe kaisari
Tafakari!Hili andiko linaingiaje kwenye hii ishu
Uchungaji sio haramu na haizuiliwi ukishakuwa mwimbaji hupaswi kuwa na huduma ya uimbaji, Abiudi Misholi ni mwimbaji vilevile ana huduma ya uchungaji. Hoja ni kuchanganya Mungu na miungu mingine.Siyo yeye alitaka kuolewa na mzungu apate hela??
Hakuna asiye taka pesa
Ila wanajificha kwenye kivuli cha zungumza na mchungaji sema na mchungaji na hili ndilo lilimpelekea Rose kudhulumiwa
Huyo bukuku kaacha uimbaji kageukia uchungaji huko bunju waache usanii
Hoja yako haiendani na andiko hiloTafakari!
Kama mawe yanaweza mtukuza Mungu, sembuse binadam mwanamziki?Hili andiko linaingiaje kwenye hii ishu
Mwache afanye apendavyo,lakini anayehukumu ni MunguRose Muhando, ametoa msimamo mkali na kuwakosoa wasanii wa Injili wanaofanya kazi za muziki na wasanii wa muziki wa dunia au Bongo Fleva.
Kauli hii imekuja mara baada ya kuwepo kwa mjadala mkali mtandaoni uliochochewa na hatua ya mwimbaji wa Injili, Joel Lwaga, kufanya wimbo wa ushirikiano na nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.
Mjadala huo uliosema na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram, umeibua maoni tofauti kati ya mashabiki wa muziki wa Injili na Bongo Fleva.
Akieleza sababu za msimamo wake, Rose Muhando amebainisha kuwa lengo kuu la mwimbaji wa Injili linapaswa kuwa kumtumikia Mungu na kulinda huduma yake badala ya kusaka views na umaarufu wa muda mfupi.
Alisisitiza kuwa kabla ya msanii kuchukua hatua ya kufanya kolabo kama hiyo, anapaswa kushauriana na mchungaji wake wa kiroho au kuongea na Mungu.
Rose aliongeza kuwa yeye mwenyewe amewahi kufuatwa na wasanii wengi wa kidunia wakitaka wafanye naye wimbo, lakini Mungu alimkataza na hawezi kukiuka katazo hilo kwa namna yoyote ile.
Kupitia ujumbe wake huo, Rose alieleza namna anavyoipigania huduma yake kwa kusema:
"Mimi nalinda huduma yangu kwa gharama yoyote na sifanyi ili nipate views nyingi na umaarufu bali kumtumikia MUNGU."
Alitamatisha kwa kutoa tahadhari kuwa ingawa views na umaarufu vinaweza kupatikana kwa muda kupitia kazi hizo, msanii anayeingia kwenye kolabo hizo anajikuta akiwapoteza na kuwajaza mashaka wale waliomwamini na kumfikisha hapo alipo tangu mwanzo.
View attachment 3679547
Soma post #15Hoja yako haiendani na andiko hilo
Usitoke nje ya mada, aliwahi kuimba wimbo wa Halellujah... Baadaye ulifungiwa. Tunachosema hapa ni Joel kuimba naye. Je huo wimbo alioimba unamtukuza Yesu wapi?Kama mawe yanaweza mtukuza Mungu, sembuse binadam mwanamziki?
Anyway, Diamond au mwanamziki yeyote akuamya kuimba wimbo wa kumsifu Mungu, kuna watu wata andamana kwamba hatakiwi kufanya hivyo au ni kosa?
Usitoke nje ya mada, aliwahi kuimba wimbo wa Halellujah... Baadaye ulifungiwa. Tunachosema hapa ni Joel kuimba naye. Je huo wimbo alioimba unamtukuza Yesu wapi?