The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Mwache afanye apendavyo,lakini anayehukumu ni Mungu
Watashangaa sana siku za mwisho watakapo gundua moto wa wazinzi na Waongo/Wambeya/Wachawi ni ule ule.
Mwache afanye apendavyo,lakini anayehukumu ni Mungu
Wimbo wenyewe hata sijausikiliza, nimejikita kwenye kilichoandikwa hapa na hoja ya Rose.Usitoke nje ya mada, aliwahi kuimba wimbo wa Halellujah... Baadaye ulifungiwa. Tunachosema hapa ni Joel kuimba naye. Je huo wimbo alioimba unamtukuza Yesu wapi?
Shida ilikua kwenye video sio audio.Usitoke nje ya mada, aliwahi kuimba wimbo wa Halellujah... Baadaye ulifungiwa. Tunachosema hapa ni Joel kuimba naye. Je huo wimbo alioimba unamtukuza Yesu wapi?
Sijachanganya kitu, nimeeleza kwa upana kuwa utakatifu au la sio suala la mtu kutafsiri, ni suala la Mungu. Yeye ndio anajua kama watu wanamsifu yeye au la. Hata hao waimbaji wa nyimbo za injili kama hawako safi kiroho, nyimbo zao zinakuwa ni burudani tu. Kama wanaamini hawawezi kujichanganya na wadunia, ilitakiwa kila kitu kiwe kinatokana na utakatifu, simu, magari, vifaa vya muziki nk.. ila karibu vyote hivyo vinamilikiwa na wadunia, na wao wakimbingu wanaona vinatumika kumtukuza Mungu, vivyo hivyo kwa mwanadamu mdunia anaweza tu kuimba kumtukuza Mungu.Umechanganya vitu viwili tofauti, rudi ujue kusudi la mwimbaji ni nini
Usitoke nje ya mada, aliwahi kuimba wimbo wa Halellujah... Baadaye ulifungiwa. Tunachosema hapa ni Joel kuimba naye. Je huo wimbo alioimba unamtukuza Yesu wapi?
Vyote kwa pamojaKinachojalisha ni nani ameimba wimbo au maudhui ya wimbo?
Ndio unarudi kwenye hoja yangu, ujue shetani anakuwekea mipaka ya kutovukaShida ilikua kwenye video sio audio.
Video imebeba nini kama sio wimbo?Ilifungiwa video sio wimbo.
Kumbe sasa hata wewe hauelewi unasimamia kitu gani mkuu.Video imebeba nini kama sio wimbo?
Sasa unaelewa kwanini nilikwambia hata mawe yatasifu?Vyote kwa pamoja
we ni msafi?
Hao wachafu Yesu anawataka na alikuja kwa ajili yaoMbaya zaidi wanafanya kolabo na wasanii wachafu
Hawana hadhi ya kukosoaWimbo wenyewe hata sijausikiliza, nimejikita kwenye kilichoandikwa hapa na hoja ya Rose.
Rose anasema hawezi fsnya colabo na wanamuziki wasioimba nyinbo za injili right?
Lakini na wao huo mziki wa injili ni sehem ya biashara right?
Na maisha ya wokovu au ukristo ni jambo la mtu binafsi right?
Kumbuks Lwaga yupo kwenye biashara na hiyo ni fani yake, ofisi yake.
Sasa kuhusu maisha binafsi hiyo ni kesi nyingine inayohitaji kipimo cha utakatifu ambacho sijui nani anapima watu.
Bukuku nae ametoa kauli ya aina hiyo kwamba jamaa amekosea, ni kweli kwenye kuimba na watu wa muziki wa kidunia tu ndio dhambi au jambo la kumchukiza Mungu kwingine kote wao wako sawa?
Ndio maana nikasema, siku wakifanya colabo kuimba nyimbo za injili napo watasema hai ni wa mataifa?
Kwa mtizamo wako maudhui ya huo wimbo yanapimwa vipi kwamba ni ya kidini au kidunia?