Rose ndauka arudi kwao baada ya mchumba wake kuwajaza mimba wanawake 2 tofauti

Huyo ndie Mdakuzi bwana,sidhani kama kuna star ambaye hana faili lake....
 
Last edited by a moderator:
Wasanii wanapenda maisha ya kisanii....
 
Manina ye si alifuata pesa halafu anataka awe peke yake, kwani nani hapendi mkwanja?
 
YUle jama hajatulia, kuna siku nilikutana nae ambrosia alikuwa anadandia mademu kama hana akili nzur
Sorry kwa swali hili wewe upande upi me au ke?
Sababu kama alikufuata ukamkwepa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…