Rose ndauka arudi kwao baada ya mchumba wake kuwajaza mimba wanawake 2 tofauti

Methali: SIKU ZA MWIZI NI AROBAINI
Meaning: A thief’s days are forty.
Application: You cannot fool everyone. You cannot
play tricks forever, sooner or later you will be
caught.
 
Rose hajabadili dini kwani toka akiwa mdogo alikuwa ni muislam na jina lake la udogo ni Aisha na hata madrasa amesoma.yeye anaweza kukaa upande wowote as babake ni mkristo na mamake ni muislam

Duh, kwa hiyo Rose njia panda imemuandama.....kiimani yupo njia panda...na mahusiano nayo njia panda...pole Rose.
 
Pole zake....anajifunza.

Kujifunza sio rahisi sana...hata sigara zina onyo linaloandikwa kwenye pakti....cigarete causes cancer...na still watu wanaSMOKE.

Labda kuwasaidia kina dada, wanaume wote wapigwe mihuri kwenye mapaji ya uso....inayosomeka...MEN ARE DOGS, GET MARRIED AT YOUR OWN RISK.....

Na hiyo mihuri haitofutika, itabaki hapo kwenye paji la uso milele, ndio kila akiamka asubuhi aone.
 
Mh,ni kweli lakini hayo maneno yanauma jamani....ni bora nijifanye kipofu sioni ili niwe na amani ya moyo...
 
Kujifunza sio rahisi sana...hata sigara zina onyo linaloandikwa kwenye pakti....cigarete causes cancer...na still watu wanaSMOKE.

Labda kuwasaidia kina dada, wanaume wote wapigwe mihuri kwenye mapaji ya uso....inayosomeka...MEN ARE DOGS, GET MARRIED AT YOUR OWN RISK.....

Na hiyo mihuri haitofutika, itabaki hapo kwenye paji la uso milele, ndio kila akiamka asubuhi aone.

If men are dogs..Women are donkeys
 
Kiukweli kilichovunja ndoa ni Malick kupigika. Tangu akiwa mjamzito Rose alikuwa akimtegemea mama yake kwa huduma.
Na hata alipojifungua, 40 ya kumtoa mtoto iliandaliwa na mama yake Rose kwa gharama zake. Na kwa bahati nzuri alitunzwa vitu vingi vya mtoto.
Kilichochangia waachane ni kitendo cha Malick kuwa na wivu sana kwa Rose, na wakati mwingine kusimamisha project za Watu.
Mfano mmojawapo ni katika filamu fulani ambayo Rose alicheza kabla mimba haijalia.
Wakati wanashoot walikuwa kambini Sinza, siku moja akaomba ruhusa ya kutoka kambini kwa muda na kurejea baadaye, lakini hakurudi.
Mbaya zaidi alikata siku tatu zaidi bila ya kutokea na kila alipopigiwa simu alipokea Malick na kusema msibirini atakuja tu.
Kiukweli Hali hii ilimfanya Rose kunyimwa nafasi Za kushiriki katika filamu nyingi kutokana na hofu ya kusimama kwa project bila sababu Za msingi.
Jambo jingine ambalo jamii haikujua ni kwamba, kabla ya Rose kujifungua alishaolewa kimya kimya kwa kuwa hakukua na muda wala pesa ya kufanya sherehe.
Walikubaliana kufanya sherehe baadaye baada ya mambo kuwa sawa kiuchumi. Lakini kabla Hilo halijafanyika talaka ikatangulia.
Sasa Rose atakuwa huru kujiachia na kujichanganya na wasanii wenzake jambo ambalo Hakuwa akilifanya alipokuwa na Malick.
Kwa nilichosikia ni kwamba Rose alisharudiana na Richie kabla hata Malick hajatoa talaka, kwa hiyo baada ya talaka kwa Richie imekuwa Kama asali kumwagikia kwenye futari.
Hata hivyo, tusubiri kwanza, Wakati utazungumza.
Ova
 
hii kali sasa!!
kumbe mwanaume marioo
saa ingine ukiolewa na mijanaume mingine badala ya kuendelea unalostika hasa km si muelewa
 
ndio huyo rose mtoto wa pili kwa bwwana mwingine
and this is karma
anajua alivyotenganisha ndoa ya mtu na mimba yake ya mwanzo

Kumbe!
Km alitenganisha ya watu na yake haiwez kudumu

What goes around. ....
 
ROSE.jpg

Ndo huyu mwanaume?

Halafu hii tabia ya kuzaa tu kabla hujaolewa wadada cjui kwnn hawajifunzi
 
HUU UTAMADUNI WA MAISHA BINAFSI KUYAFANYA KUWA YA KITAIFA HAYA NDIO MATOKEO YAKE.
UMEPATA MCHUMBA/MUME/BUZI/MLUPO/MCHEPUKO ,n.k , n.k, n.k....KAA KIMYA NA MAISHA YAKO.FURAHA NA KARAHA ZITAKUWA KWAKO!
Mmmhhh
Hili nalo neno
 
Kiukweli kilichovunja ndoa ni Malick kupigika. Tangu akiwa mjamzito Rose alikuwa akimtegemea mama yake kwa huduma.
Na hata alipojifungua, 40 ya kumtoa mtoto iliandaliwa na mama yake Rose kwa gharama zake. Na kwa bahati nzuri alitunzwa vitu vingi vya mtoto.
Kilichochangia waachane ni kitendo cha Malick kuwa na wivu sana kwa Rose, na wakati mwingine kusimamisha project za Watu.
Mfano mmojawapo ni katika filamu fulani ambayo Rose alicheza kabla mimba haijalia.
Wakati wanashoot walikuwa kambini Sinza, siku moja akaomba ruhusa ya kutoka kambini kwa muda na kurejea baadaye, lakini hakurudi.
Mbaya zaidi alikata siku tatu zaidi bila ya kutokea na kila alipopigiwa simu alipokea Malick na kusema msibirini atakuja tu.
Kiukweli Hali hii ilimfanya Rose kunyimwa nafasi Za kushiriki katika filamu nyingi kutokana na hofu ya kusimama kwa project bila sababu Za msingi.
Jambo jingine ambalo jamii haikujua ni kwamba, kabla ya Rose kujifungua alishaolewa kimya kimya kwa kuwa hakukua na muda wala pesa ya kufanya sherehe.
Walikubaliana kufanya sherehe baadaye baada ya mambo kuwa sawa kiuchumi. Lakini kabla Hilo halijafanyika talaka ikatangulia.
Sasa Rose atakuwa huru kujiachia na kujichanganya na wasanii wenzake jambo ambalo Hakuwa akilifanya alipokuwa na Malick.
Kwa nilichosikia ni kwamba Rose alisharudiana na Richie kabla hata Malick hajatoa talaka, kwa hiyo baada ya talaka kwa Richie imekuwa Kama asali kumwagikia kwenye futari.
Hata hivyo, tusubiri kwanza, Wakati utazungumza.
Ova

Aiseeeee
Asante kwa taarifa!
Kumbe ndivyo ilivyo?

Halafu kuna movie 1 hivamecheza na hyo richie inafanana na kisa km hiki kilichomkuta.....
 
Inaitwa Swahiba, Mdakuzi aminia hawa wanawake wetu wakiona mtu ana hela wanamvamia fasta bila kujua kwamba jamaa ana hela za msimu au continuous? Fedha za msimu ni za udalali,kuuza nyumba ya urithi,kutapeli watu etc ila continuous ni zile zitakanazo na kazi/business ufanyazo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom