dmaujanja1
JF-Expert Member
- Nov 24, 2008
- 223
- 68
Sijaelewa....huyu bwana bandawe kazaa na Rose watoto wawili o??au huko nje kapiga phumbu mademu wawili na wote kawapa mimba.
Umetumia lugha nzito Mpenz japo sealing zur
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa....huyu bwana bandawe kazaa na Rose watoto wawili o??au huko nje kapiga phumbu mademu wawili na wote kawapa mimba.
Rose hajabadili dini kwani toka akiwa mdogo alikuwa ni muislam na jina lake la udogo ni Aisha na hata madrasa amesoma.yeye anaweza kukaa upande wowote as babake ni mkristo na mamake ni muislam
Pole zake....anajifunza.
Kujifunza sio rahisi sana...hata sigara zina onyo linaloandikwa kwenye pakti....cigarete causes cancer...na still watu wanaSMOKE.
Labda kuwasaidia kina dada, wanaume wote wapigwe mihuri kwenye mapaji ya uso....inayosomeka...MEN ARE DOGS, GET MARRIED AT YOUR OWN RISK.....
Na hiyo mihuri haitofutika, itabaki hapo kwenye paji la uso milele, ndio kila akiamka asubuhi aone.

Hivi walikua wanaishi tu hawakufunga ndoa
Ee walikua wanafanya mazoezii tu
Hao Takukuru walikuwa wanachunguzana bado.
Kiukweli kilichovunja ndoa ni Malick kupigika. Tangu akiwa mjamzito Rose alikuwa akimtegemea mama yake kwa huduma.
Na hata alipojifungua, 40 ya kumtoa mtoto iliandaliwa na mama yake Rose kwa gharama zake. Na kwa bahati nzuri alitunzwa vitu vingi vya mtoto.
Kilichochangia waachane ni kitendo cha Malick kuwa na wivu sana kwa Rose, na wakati mwingine kusimamisha project za Watu.
Mfano mmojawapo ni katika filamu fulani ambayo Rose alicheza kabla mimba haijalia.
Wakati wanashoot walikuwa kambini Sinza, siku moja akaomba ruhusa ya kutoka kambini kwa muda na kurejea baadaye, lakini hakurudi.
Mbaya zaidi alikata siku tatu zaidi bila ya kutokea na kila alipopigiwa simu alipokea Malick na kusema msibirini atakuja tu.
Kiukweli Hali hii ilimfanya Rose kunyimwa nafasi Za kushiriki katika filamu nyingi kutokana na hofu ya kusimama kwa project bila sababu Za msingi.
Jambo jingine ambalo jamii haikujua ni kwamba, kabla ya Rose kujifungua alishaolewa kimya kimya kwa kuwa hakukua na muda wala pesa ya kufanya sherehe.
Walikubaliana kufanya sherehe baadaye baada ya mambo kuwa sawa kiuchumi. Lakini kabla Hilo halijafanyika talaka ikatangulia.
Sasa Rose atakuwa huru kujiachia na kujichanganya na wasanii wenzake jambo ambalo Hakuwa akilifanya alipokuwa na Malick.
Kwa nilichosikia ni kwamba Rose alisharudiana na Richie kabla hata Malick hajatoa talaka, kwa hiyo baada ya talaka kwa Richie imekuwa Kama asali kumwagikia kwenye futari.
Hata hivyo, tusubiri kwanza, Wakati utazungumza.
Ova
ndio huyo rose mtoto wa pili kwa bwwana mwingine
and this is karma
anajua alivyotenganisha ndoa ya mtu na mimba yake ya mwanzo
Aiseee,ana laana za wanawake wenzie huyu
MmmhhhHUU UTAMADUNI WA MAISHA BINAFSI KUYAFANYA KUWA YA KITAIFA HAYA NDIO MATOKEO YAKE.
UMEPATA MCHUMBA/MUME/BUZI/MLUPO/MCHEPUKO ,n.k , n.k, n.k....KAA KIMYA NA MAISHA YAKO.FURAHA NA KARAHA ZITAKUWA KWAKO!
Kumbe!
Km alitenganisha ya watu na yake haiwez kudumu
What goes around. ....
Kiukweli kilichovunja ndoa ni Malick kupigika. Tangu akiwa mjamzito Rose alikuwa akimtegemea mama yake kwa huduma.
Na hata alipojifungua, 40 ya kumtoa mtoto iliandaliwa na mama yake Rose kwa gharama zake. Na kwa bahati nzuri alitunzwa vitu vingi vya mtoto.
Kilichochangia waachane ni kitendo cha Malick kuwa na wivu sana kwa Rose, na wakati mwingine kusimamisha project za Watu.
Mfano mmojawapo ni katika filamu fulani ambayo Rose alicheza kabla mimba haijalia.
Wakati wanashoot walikuwa kambini Sinza, siku moja akaomba ruhusa ya kutoka kambini kwa muda na kurejea baadaye, lakini hakurudi.
Mbaya zaidi alikata siku tatu zaidi bila ya kutokea na kila alipopigiwa simu alipokea Malick na kusema msibirini atakuja tu.
Kiukweli Hali hii ilimfanya Rose kunyimwa nafasi Za kushiriki katika filamu nyingi kutokana na hofu ya kusimama kwa project bila sababu Za msingi.
Jambo jingine ambalo jamii haikujua ni kwamba, kabla ya Rose kujifungua alishaolewa kimya kimya kwa kuwa hakukua na muda wala pesa ya kufanya sherehe.
Walikubaliana kufanya sherehe baadaye baada ya mambo kuwa sawa kiuchumi. Lakini kabla Hilo halijafanyika talaka ikatangulia.
Sasa Rose atakuwa huru kujiachia na kujichanganya na wasanii wenzake jambo ambalo Hakuwa akilifanya alipokuwa na Malick.
Kwa nilichosikia ni kwamba Rose alisharudiana na Richie kabla hata Malick hajatoa talaka, kwa hiyo baada ya talaka kwa Richie imekuwa Kama asali kumwagikia kwenye futari.
Hata hivyo, tusubiri kwanza, Wakati utazungumza.
Ova
Aiseeeee
Asante kwa taarifa!
Kumbe ndivyo ilivyo?
Halafu kuna movie 1 hivamecheza na hyo richie inafanana na kisa km hiki kilichomkuta.....