Rose ndauka arudi kwao baada ya mchumba wake kuwajaza mimba wanawake 2 tofauti

Yaan Ndauka ana watoto wawili au???

Ndauka ana mtoto mmoja ila bwanake malick kawapa mimba wanawake wengine wawili na wameshajifungua so mwanaume ana watoto wa 3 kwa mpigo...
 
Acha yampate huyo malick si alimchukulia dada wa watu?alilia kama nini sipati picha anavyosherehekea...
 
Ndauka ana mtoto mmoja ila bwanake malick kawapa mimba wanawake wengine wawili na wameshajifungua so mwanaume ana watoto wa 3 kwa mpigo...

Eeeeeee kaua ndege wawili kwa jiwe mojaaaa
 
Ndauka ana mtoto mmoja ila bwanake malick kawapa mimba wanawake wengine wawili na wameshajifungua so mwanaume ana watoto wa 3 kwa mpigo...

naona anataka kuijaza dunia hii peke yake.....
 
hivi kwa nini upange wakati nyumba ipo...walahi na mimi home sichomoki hata wakiniletea polisi...

Ila alikuwa anaishi kwa huyo jamaa akasahau kwao
 
ndauka ana watoto wawl mmoja alizaa na daniel basila km sikosei tena wa kiume anakaribia miaka nane asa hv mpaka huyu mbaba katengana na mkewe sababu ya rose mkewe nae anaimba inji

Mabwakuuu kumbeee mi nilijuaga Rose ana mtoto mmoja tu,ila haina shida watoto ni wazuri hakuna ubayaa ajitahid awalee tuu
 
ndauka ana watoto wawl mmoja alizaa na daniel basila km sikosei tena wa kiume anakaribia miaka nane asa hv mpaka huyu mbaba katengana na mkewe sababu ya rose mkewe nae anaimba inji

Aiseee,ana laana za wanawake wenzie huyu
 
Back
Top Bottom