miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Rose hajabadili dini kwani toka akiwa mdogo alikuwa ni muislam na jina lake la udogo ni Aisha na hata madrasa amesoma.yeye anaweza kukaa upande wowote as babake ni mkristo na mamake ni muislam
Kukaa popote vipi bwana???mapenzi ndo yamempeleka huko maana kabla ya hapo msimamo wake ulikuwa wa kikristo