Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick

Samahani wakuu, huyo dogo alikuwa na title gani? Simfahamu so naweza pata hata dondoo kidogo kwa maana naona kero ktk groups za whatsapp huko...
Mkuu hata mimi nilipata shida kama wewe...
Ila jitahidi kufuatilia.

Habari yake inasikitisha sana.
 
Ana bahati nzuri sana huyu Muna lasivyo huyo mtoto angezikwa mwezi ujao maana baba wa mtoto asingekubali ujinga huo....wa kutapeliwa...
Bora amechukua ushauri wa DEMBA
Sijui huyo Casto ana jisikia Vipi huko daaaa
Mbona Casto yuko kimya kaka wa watu hajasema chochote waliokua wanaumana ni wao wenyewe mtoa mbegu kakaa kimyaa
 
View attachment 803207
Kwa ufupi
Jana Julai 4, 2018 Muna kupitia ukusara wa mtandao wa kijamii wa Instagram liandika baba wa mtoto ni Casto Dickson...
Da'Mange kaumbuka tena mchana kweupee. Duh, eti oh mimi huwaga sikosei nasema Casto ni baba wa Patrick sijui nini. Sasa mama kasema baba wa marehemu ni nani.
 
Ana bahati nzuri sana huyu Muna lasivyo huyo mtoto angezikwa mwezi ujao maana baba wa mtoto asingekubali ujinga huo....wa kutapeliwa...
Bora amechukua ushauri wa DEMBA
Sijui huyo Casto ana jisikia Vipi huko daaaa
casto akae kimya tu.... this too shall pass!!
 
Alikua mshika mapembe tuu huyo, mtoa mbegu ndio Peter,
Yeye lazima awe kimya sababu anajua ukweli ulipo, Muna ni nyo..k..o yule ustaa umemponza
 
Waswahili waliposema kimya ni jibu hawakukosea, Raynavero umeona kumbe post aliandika Muna?? Angekaa kimya wakayamaliza huko kwa huko wamzike mtoto jamani mama unapata nguvu ya kupost insta digital inatumeza tu
 
Unalogwa...

Na akili zako unakuwa zezeta.

Si watu hawa...wakiamua.
Tuanze kuwadhibiti wao sasa, kwani mafundi hatuwajuhi? Wewe jiulize mtu hana hela na ana wake wawili wazuri kabisa na anawamega peke yake.

Dawa yao sasa tuanze kuwadhiti wao kwa ndumba maana wameshashindikana, na huyo Muna unaambiwa hapo ndio mlokole sasa wasiomjuwa hata Mungu kabisa balaa lake likoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…