Sana aangalie mchezo unavyoenda nakumbuka kisa cha wanawake wawili waliojifungua siku moja mmoja wa kwake akafa usiku alipoona vile akaenda kubadilisha mfu na aliye hai, mama wa mtoto aliye hai akajua kua wa kwake ndo yule mzima wakabishana mwisho wakaenda kwa nabii suleyman akawaambia km mnagombania mwana basi na huyu tumchinje yule wa kwake aliyekufa akakubali fasta achinjwe wakose wote,yule mwenye damu yake akasema hapana mpe mwenzangu!!
Mshindi akawa yule aliyesema asichinjwe..
Kwa hili sperms donors ni Casto ndo maana yuko kimya tu! Anajuta kwa nini alikataa na hakuna mtu mwenye maumivu km Casto