Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Maisha ya ki digital hayo hata kulia watu wanalia kwa hatuaAiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments!
wanawake wa Siku hizi ......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya ki digital hayo hata kulia watu wanalia kwa hatuaAiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments!
wanawake wa Siku hizi ......
Baba lofa huyu!!Hivi hamna vipimo vya DNA siku hizi.
Huna lolote. Unapingana na mama wa marehemu? Duh, kaazi kweli kweli.Mtoto wa Casto mlezi Peter mbona habari ndo ziko hvyo...huyo mange hapa umemuonea tu
Watu wa mjini wote wanajua hvyoo..sema baba mlezi kaamua kuvimbaa
Sio Mimi mama wa marehemu alishasema Mtoto wa nani[emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] labda km una chuki na mange kwa heriii...na wengine muna,mwanawe,mumewe na Casto ndo mmewajua Leo...Huna lolote. Unapingana na mama wa marehemu? Duh, kaazi kweli kweli.
Sasa kasema sio. Hebu acha kufosi mambo na kujifanya unajua zaidi yake. Utapata tabu sana.Sio Mimi mama wa marehemu alishasema Mtoto wa nani[emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] labda km una chuki na mange kwa heriii...na wengine muna,mwanawe,mumewe na Casto ndo mmewajua Leo...
Mkuu tuwekee hapa tafadhali. .Mkuu hata mimi nilipata shida kama wewe...
Ila jitahidi kufuatilia.
Habari yake inasikitisha sana.
Maji yakimwagika hayazoleki[emoji2] [emoji2] [emoji2] unapata tabu sana wewe uliye na chuki na mange humjui,hakujui halafu ukute mtoto wa kiume[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Sasa kasema sio. Hebu acha kufosi mambo na kujifanya unajua zaidi yake. Utapata tabu sana.
Wewe unanijua. Hizo chuki kwa da'Mange zitoke wapi. Nimchukie huyo kibwengo kwa lipi?Maji yakimwagika hayazoleki[emoji2] [emoji2] [emoji2] unapata tabu sana wewe uliye na chuki na mange humjui,hakujui halafu ukute mtoto wa kiume[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
Mna shida wanaume wa siku wambea kama Dada zenu[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Utajua mwenyewe[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4] [emoji5]Wewe unanijua. Hizo chuki kwa da'Mange zitoke wapi. Nimchukie huyo kibwengo kwa lipi?
Haya, sawa.Utajua mwenyewe[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4] [emoji5]
Yeye kaandika Piter hahahahaKumbe familia ndo imemsihi daah mzee wa fursa keshatudanganya kuwa yeye ndo kambembeleza muna akubali misiba uwe kwa bwana Peter
View attachment 803208
haha hahaha ..Hivi huyo Jamaa hanaga haya ""!?Kumbe familia ndo imemsihi daah mzee wa fursa keshatudanganya kuwa yeye ndo kambembeleza muna akubali misiba uwe kwa bwana Peter
View attachment 803208
inashangaza kwa kweli ....hawa viumbe wamesifiw kukimbia ...now wamepitiliza mpaka kwao ""...Aiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments!
wanawake wa Siku hizi ......
Hawa kama wana laana..Sugu naye anapata shida na mzazi mwenzie..Faiza..kashindwa kuchukua mtoto wake..bongo movie ni pasua kichwaAta ukizaa nao usioe bado ni tabu tu, si ndio yanaendelea kwa huyu mwanamke muigizaji mara leo mtoto wa fulani mara kesho mtoto wa fulana. drama everyday
Hivi ni kabila gani huyu. Sorry kwa kuuliza kabilaRose Alphonce Nungu