Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick

Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick

Wameshindwa kudhibitika kwa PESA...

.... Sasa ni kipigo tu.. Kipigo tuh..

Hawana Ahsante hawa ..
Mlikuwa mnawasakama Wakurya na kuwaita makatiri kumbe wenzenu wana akili timamu kabisa na wanajuwa hawa viumbe namna ya kudeal nao.
 
Kwa mtu mwenye akili ataelewa kabisa mwenye mtoto ni Casto kwa maelezo ya huyo dada inaonekana baada ya kusema mtoto ni wa casto ikatumika nguvu kubwa sna kumshawishi abadili mawazo
 
huyu matak* ni punguani, shetani akupitie ukaseme mambo ya kipuuzi vile. asubiri kuishi kama mbwa koko tu baada ya msiba

hata huko kwa baba wa mtoto unaenda kuliaje macho yote kwako kwamba huyu muna malaya, hajielewi
 
Aiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments!
wanawake wa Siku hizi ......
Wana mioyo migumu sana wanawake wa siku hizi hapo tena anatamani angekuwa na watoto wengi wafe ili aendelee kupata comment na pole nyiingi tokea insta. mitandao hii
 
Ndo maana uwoya japo anajua Krish sio wa ndiku kaamua kumbabatiza hivyo hvyo kakomaa na ndiku
Hii yako ni kali na mpya, tusaidie tumjue baba yake Krish tofauti na Ndiku.
 
Hii yako ni kali na mpya, tusaidie tumjue baba yake Krish tofauti na Ndiku.
Kaka uko mjini hapa hapa au...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana!!!uliza watoto wa mjini!sema Irene kaamua kukomaa na huyo huyo!

Mtafute dude wa bongo daslam atakuambia baba wa mtoto
 
Mbona Casto yuko kimya kaka wa watu hajasema chochote waliokua wanaumana ni wao wenyewe mtoa mbegu kakaa kimyaa
Huyo Casto SI MTOA mbegu bali alikuwa ana saidia tuuu kama angelikuwa mtoa mbengu basi pasingelikalika na pia angekuwa anatoa huduma..
Mwenye mtoto ameshajulikana.....
 
Back
Top Bottom