Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick

Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick

Aiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments!
wanawake wa Siku hizi ......
Skuhiz hakuna wanawake Hawa n
Mashetan tu ndo wako maana
Akili zao skuhiz hua hazfany
 
Et shetan alimpitia wanawake wa skuhiz kweli libwata ndo wametubebea
 
Tuache hili lipite salama na dogo akazikwe....
Ila tukumbuke kuacha kujificha kwenye kivuli cha Mungu ili kuficha maovu yetu,,,,Siku na siku Mungu anakuumbua tuuu...
 
Back
Top Bottom