V Vyamavingi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 5,818 Reaction score 5,555 Jul 6, 2018 #141 Ngushi said: Aiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments! wanawake wa Siku hizi ...... Click to expand... Wanawake wajinga wameolewa na social media vivyo hivyo wanaume wajinga. Vv
Ngushi said: Aiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments! wanawake wa Siku hizi ...... Click to expand... Wanawake wajinga wameolewa na social media vivyo hivyo wanaume wajinga. Vv
Jodoki Kalimilo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 12,559 Reaction score 11,180 Jul 6, 2018 #142 Nokia83 said: Huu msemo shetani alinipitia ni wa kibwege sn Click to expand... Ndio huwa tunautumia nchi za ulimwengu wa tatu kuhalalisha mambo yetu yaani kama vile mtu hajafunga mkanda gari inafunga break ghafla mtu anachomoka kwenye kioo na kufa, watu tunabaki siku zake zimefika tu hata iwe nini
Nokia83 said: Huu msemo shetani alinipitia ni wa kibwege sn Click to expand... Ndio huwa tunautumia nchi za ulimwengu wa tatu kuhalalisha mambo yetu yaani kama vile mtu hajafunga mkanda gari inafunga break ghafla mtu anachomoka kwenye kioo na kufa, watu tunabaki siku zake zimefika tu hata iwe nini