Brother mbona unapanic! Jenga hoja nikuelewe.Kwanini hakwenda kwa Incharge km alivyoelekezwa? Hivi unatumia nini kufikiri? Jaribu kutumia akili.
Kwa ututez huu wa kuzunguzunguka itakua una undungu na rose ishu iko hivi robert alitaka apewe mrdt yaan vipimo vya maralia rose ndio mwenye mamlaka hayo rose akampa robert vipimo vya maralia vilivyokwisha muda wa matumiz robert akagoma kwa kulinda uhai wa wateja maana unaweza kumwambia mgonjwa huna maralia akaenda kujifia ila rose akasisitiza robert atumie vipimo hivyo hivyo vikiwa vimekwisha mda na ikibid awapime wajawazito robert akakataa ndio rose akawa mkal nakumrushia maneno ya dharau robertROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE
Anaandika, Robert Heriel.
Watanzania Wengi tunapenda Sana mambo ya kudandia dandia mambo. Kufuata Mkumbo. Kwenye nchi hii ni rahisi Sana kumchafua MTU na watu wakaamini na kumuona MTU Fulani ni Mbaya.
Taikon natumia Kanuni moja, ukija Kwa upole utajibiwa Kwa upole, ukija kishenzi utajibiwa kiushenzi.
Turudi kwenye mada
Kama ukiitazama Ile video inayoonyesha majibizano makali kiasi ya maafisa wa Afya WA zahanati ya Isgihimulwa Tabora ya Rose Shirima na James Getogo, bila kutumia mihemko basi utagundua Rose Shirima Hana kosa lolote.
Mwenye Makosa hapo ni James Getogo.
Zipo sababu zinazonifanya kuwa na mtazamo huo, sababu hizo ni kama ifuatavyo;
1. Mratibu wa njama na Msaliti.
Mchukua kamera ambaye bila Shaka ni James Getogo akiwa kama kinara wa kutelekeza njama hiyo Kwa lengo alilokuwa analijua yeye mwenyewe.
Ni aibu kuwa na mfanyakazi katika serikali au kampuni au hata kwenye familia kama alivyo James Getogo. Unajua ni kwanini?
Serikali inasiri nyingi, taasisi za Elimu zinamapungufu mengi Mno. Hata hapo nyumbani kwako ulipo yapo makorokoro mengi Sana. Lakini mkiwa kama wanafamilia, au wafanyakazi wa ofisi moja kazi yenu ni kujua nini chakufanya ili kukabiliana na hayo matatizo yalipo.
Lakini sio mmoja wenu kuchonga njama ili kuibua uozo wa familia, au serikali au kampuni. Huyo hafai popote pale.
James Getogo hataonekana kama shujaa Bali ataonekana kama MTU asiyetambua nini anafanya. James Getogo ni Msaliti hafai.
Video Ile ilipaswa irekodiwe na MTU wa nje asiyehusika na hiyo zahanati ndio ingekuwa na ujiko/mantiki.
Lakini kurekodiwa na MTU wa ndani hiyo ni njama. Maana ofisini MTU anaweza kukujaza alafu bila ya wewe kujua akawa anakurekodi ukaonekana wewe ndiye mbaya.
2. Makosa katika Video.
Ile video inamakosa kama ifuatavyo;
I/ video imeanzia katikati,
hatujui walianzia wapi, na mchukua video alipoona amepata alichokuwa anakikusudia akaamua aache kurekodi.
ii/ video imechukuliwa na mshtaki(ambaye ni Be. James Getogo).
Ile video ingekuwa na maana endapo mshitakiwa na mshitaki wangekuwa wanarekodiwa pasipo ya wao kujua ili kuondoa Ile dhana ya njama.
Sasa Be. James ndiye anarekodi unafikiri yeye angetumia Lugha gani kujibishana na MTU asiyejua anarekodiwa?
Au unafikiri Rose Shirima angejua anarekodiwa angeongea maneno makali?
Kumchongea Rose Shirima Kwa kumrekodi video ATI kisa katoa maneno ya shombo sio Pouwa! Hata wewe hapo ofisini kwako MTU anaweza kuja Kwa namna ya kukuchokoza na kukupa karaha mpaka ukajikuta unatoa maneno makali kumbe unarekodiwa, alafu video ikitumwa mtandaoni inarushwa kipande chenye maneno yako makali.
3. Makosa ya kimajukumu na kiwajibu.
Huyo James Getogo ashaambiwa na mfanyakazi mwenzake Aende Kwa incharge alafu anang'ang'aniza kumjaza Muuguzi wa Watu, ulitegemea Muuguzi angemchekea au kumjibu Kwa upole kama yupo Kanisani? Hata Kanisani kuna Wakati hakuna mambo ya upole.
Kifaa kama kime-expire ulitaka Muuguzi afanyeje sasa. Kosa lake ni lipi hapo? Yeye kakuambiwa ndio kime-expire lakini kinaweza kutumika, swali lililokuwa linafuata hapo lingetakiwa; je hakuna hatari yoyote Kutumia kifaa kilicho-expire? Hapo Rose angejieleza kulingana na uelewa wake na Elimu yake. Nani ajuaye kuwa huenda Rose anaelimu Fulani kuhusu vitu ku-expire na muda wake wa matumizi(hiyo ni juu yake sasa)
Alafu huyu James Getogo mpaka anaelekezwa na Rose Shirima kuwa Aende Kwa Incharge kwani yeye hajui taratibu za hiyo Zahanati?
Kumfukuza Kazi Rose Shirima haitakuwa Sawa. Na utakuwa uamuzi wa ajabu Sana.
Majukumu ya Muuguzi yanafahamika.
Matatizo ya namna hiyo maofisini yanapotokea hasa katika mahospitali kunakuwaga na vikao vya Asubuhi kujadili nini kimefanyika, changamoto na kupeana majukumu Kwa Siku Mpya.
James Getogo hakujua kuwa ishu ya vikao ili alete shauri lake kwenye vikao.
Kama huyo Rose Shirima anatabia mbovu ya kujibu Watu nyokonyoko(ambayo sio Tabia nzuri) je ilishindikana kumuweka kwenye kikao wakiwepo wakubwa wake wa kazi?
Au James Getogo alitaka kuiaminisha jamii ya kitanzania kuwa Rose Shirima anamdomo mchafu Kwa clip moja tuu iliyoanzia katikati tena aliyoirekodi yeye?
Come on! Tuache masikhara!
Sitetei Tabia ya majibu ya hovyohovyo na nyokonyoko Kutoka Kwa watumishi WA umma ila najaribu kuelezea kuwa yapo mazingira majibu ya nyokonyoko yanaweza kujitokeza accidentally.
Pia, najaribu kueleza kuwa ni Tabia Mbaya Kwa mfanyakazi au mwanafamilia kutoa nje madhaifu ya ofisi, kampuni au serikali Kwa Watu wasiohusika. Ni usaliti Mkubwa. Pia ni nje ya maadili ya Kazi.
Rose Shirima arudishwe kazini. Huyo James Getogo apewe onyo kali au akapewe semina. Ingawaje ingekuwa kwenye Ofisi binafsi basi angekuwa amefukuzwa kazi muda mrefu Sana.
Sio kazi ya mfanyakazi kufichua maovu ya ofisi anayofanyia Kazi. Hiyo sio kazi yako.
Waachie wenye kazi Yao ambao ni Sisi Raia.
Kumchomesha mwenzako Kwa Aina yoyote tena Kwa Watu wasiohusika Sisi kina Taikon tunaita ni uzuzu! Usaliti na kutojitambua.
Watanzania wengi watamshambulia Rose lakini kimsingi Rose hana kosa lolote. Tena apandishwe cheo.
SABATO NJEMA
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Iangalie hiyo video hapo Chini bila mihemko
Sasa lengo la kurekodi na kutuma kwenye mitandao ya kijamii ubishani wao wa kitaalam ni nini? Ndio maadili kweli! Au ni kuibua mijadala kwenye jamii kutokuwa na imani na wataalam wao! In short jamaa hana maadiliKwa ututez huu wa kuzunguzunguka itakua una undungu na rose ishu iko hivi robert alitaka apewe mrdt yaan vipimo vya maralia rose ndio mwenye mamlaka hayo rose akampa robert vipimo vya maralia vilivyokwisha muda wa matumiz robert akagoma kwa kulinda uhai wa wateja maana unaweza kumwambia mgonjwa huna maralia akaenda kujifia ila rose akasisitiza robert atumie vipimo hivyo hivyo vikiwa vimekwisha mda na ikibid awapime wajawazito robert akakataa ndio rose akawa mkal nakumrushia maneno ya dharau robert
Dhana kwamba eti kutoa taarifa hii ni aibu kwa ofisi au serikali ni potofu na ya kijinga sana. Pili unachanganya kati ya siri (confidential information) za taasisi na kunyamazia uzembe na uvunjwaji wa taratibu za kazi. Mfano kusema tumia vipimo vilivyo expire kupima wajawazito, hata kama in charge wako amekupa hayo maelekezo (ambayo itakuwa verbally kwa sababu na yeye anajua hawezi kukuandikia barua) ni kosa kubwa. Mwisho kwa nini hudhani kwamba pengine ni mwananchi wa kawaida ndiye aliyechukua hiyo video clip? Kwanza kwa jinsi wengi humu wanavyotetea ujinga kwa kichaka cha kuvujisha siri za taasisi sidhani kama ni mtumishi aliyevujisha hiyo video.Kosa la jamaa ni misconduct kama ilivyo kweny utumishi hutakiwi kutoa Siri za ofisi..
Kingine usiseme kwamba jamaa sijui kamkosea hapo Kuna kitu kisaikolojia ni kwamba Kuna bifu baina yao ..
Nimefanya kazi serikalini so naelewa tatizo la jamaa.
Kingine huyo shirima anaonyesha ana nyodo sana na hakuna maelewano baina yao na huyo mwenzie.
Kuna uwezekano mkubwa huyo shirima kiburi chake hata alipelekwa kweny management anashinda labda ishu za kujuana.
Kingine jamaa ni mshamba kwa vile ishu kama izi kawaida sana katika sehemu za kazi na kusambaza nikuchafua image ya sehemu yenu yaani umeharibu reputation ya ofisi nzima.
Mnapenda sana kuficha maovu yenu yet kila siku mnalia lia kwamba mafisadi wameiba hiki mara kile... Sasa kama hamtaki uzembe uibuliwe basi na mengine mkae kimya. JPM si alitoa nchi kwenye open government and transparency, waandishi wakapigwa pini na wengine kama Azori kupotea mazima? Kaeni gizani mbaki na hizo siri zenu halafu muone panya buku kama watabakiza hata maganda.Aliyerekod alifanya sahihi , video angeipeleka ngazi za juu ( mkuu wao wa kazi ) hapo kituoni Kwa ajili ya utatuz .... Kosa alilolifanya may be kuiweka video public .. hlo ni kosa kubwa sana
Jamaa alirekodi saa ngapi?sikubaliani na maamuzi ya jamaa kumrekodi na kusambaza mtandaoni ila Rose amepata alichostahili
kuleta zengwe kwenye uhai wa mwanadamu mwezio!!
Huyo James ni mpumbavu mmoja tu..ROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE
Anaandika, Robert Heriel.
Watanzania Wengi tunapenda Sana mambo ya kudandia dandia mambo. Kufuata Mkumbo. Kwenye nchi hii ni rahisi Sana kumchafua MTU na watu wakaamini na kumuona MTU Fulani ni Mbaya.
Taikon natumia Kanuni moja, ukija Kwa upole utajibiwa Kwa upole, ukija kishenzi utajibiwa kiushenzi.
Turudi kwenye mada
Kama ukiitazama Ile video inayoonyesha majibizano makali kiasi ya maafisa wa Afya WA zahanati ya Isgihimulwa Tabora ya Rose Shirima na James Getogo, bila kutumia mihemko basi utagundua Rose Shirima Hana kosa lolote.
Mwenye Makosa hapo ni James Getogo.
Zipo sababu zinazonifanya kuwa na mtazamo huo, sababu hizo ni kama ifuatavyo;
1. Mratibu wa njama na Msaliti.
Mchukua kamera ambaye bila Shaka ni James Getogo akiwa kama kinara wa kutelekeza njama hiyo Kwa lengo alilokuwa analijua yeye mwenyewe.
Ni aibu kuwa na mfanyakazi katika serikali au kampuni au hata kwenye familia kama alivyo James Getogo. Unajua ni kwanini?
Serikali inasiri nyingi, taasisi za Elimu zinamapungufu mengi Mno. Hata hapo nyumbani kwako ulipo yapo makorokoro mengi Sana. Lakini mkiwa kama wanafamilia, au wafanyakazi wa ofisi moja kazi yenu ni kujua nini chakufanya ili kukabiliana na hayo matatizo yalipo.
Lakini sio mmoja wenu kuchonga njama ili kuibua uozo wa familia, au serikali au kampuni. Huyo hafai popote pale.
James Getogo hataonekana kama shujaa Bali ataonekana kama MTU asiyetambua nini anafanya. James Getogo ni Msaliti hafai.
Video Ile ilipaswa irekodiwe na MTU wa nje asiyehusika na hiyo zahanati ndio ingekuwa na ujiko/mantiki.
Lakini kurekodiwa na MTU wa ndani hiyo ni njama. Maana ofisini MTU anaweza kukujaza alafu bila ya wewe kujua akawa anakurekodi ukaonekana wewe ndiye mbaya.
2. Makosa katika Video.
Ile video inamakosa kama ifuatavyo;
I/ video imeanzia katikati,
hatujui walianzia wapi, na mchukua video alipoona amepata alichokuwa anakikusudia akaamua aache kurekodi.
ii/ video imechukuliwa na mshtaki(ambaye ni Be. James Getogo).
Ile video ingekuwa na maana endapo mshitakiwa na mshitaki wangekuwa wanarekodiwa pasipo ya wao kujua ili kuondoa Ile dhana ya njama.
Sasa Be. James ndiye anarekodi unafikiri yeye angetumia Lugha gani kujibishana na MTU asiyejua anarekodiwa?
Au unafikiri Rose Shirima angejua anarekodiwa angeongea maneno makali?
Kumchongea Rose Shirima Kwa kumrekodi video ATI kisa katoa maneno ya shombo sio Pouwa! Hata wewe hapo ofisini kwako MTU anaweza kuja Kwa namna ya kukuchokoza na kukupa karaha mpaka ukajikuta unatoa maneno makali kumbe unarekodiwa, alafu video ikitumwa mtandaoni inarushwa kipande chenye maneno yako makali.
3. Makosa ya kimajukumu na kiwajibu.
Huyo James Getogo ashaambiwa na mfanyakazi mwenzake Aende Kwa incharge alafu anang'ang'aniza kumjaza Muuguzi wa Watu, ulitegemea Muuguzi angemchekea au kumjibu Kwa upole kama yupo Kanisani? Hata Kanisani kuna Wakati hakuna mambo ya upole.
Kifaa kama kime-expire ulitaka Muuguzi afanyeje sasa. Kosa lake ni lipi hapo? Yeye kakuambiwa ndio kime-expire lakini kinaweza kutumika, swali lililokuwa linafuata hapo lingetakiwa; je hakuna hatari yoyote Kutumia kifaa kilicho-expire? Hapo Rose angejieleza kulingana na uelewa wake na Elimu yake. Nani ajuaye kuwa huenda Rose anaelimu Fulani kuhusu vitu ku-expire na muda wake wa matumizi(hiyo ni juu yake sasa)
Alafu huyu James Getogo mpaka anaelekezwa na Rose Shirima kuwa Aende Kwa Incharge kwani yeye hajui taratibu za hiyo Zahanati?
Kumfukuza Kazi Rose Shirima haitakuwa Sawa. Na utakuwa uamuzi wa ajabu Sana.
Majukumu ya Muuguzi yanafahamika.
Matatizo ya namna hiyo maofisini yanapotokea hasa katika mahospitali kunakuwaga na vikao vya Asubuhi kujadili nini kimefanyika, changamoto na kupeana majukumu Kwa Siku Mpya.
James Getogo hakujua kuwa ishu ya vikao ili alete shauri lake kwenye vikao.
Kama huyo Rose Shirima anatabia mbovu ya kujibu Watu nyokonyoko(ambayo sio Tabia nzuri) je ilishindikana kumuweka kwenye kikao wakiwepo wakubwa wake wa kazi?
Au James Getogo alitaka kuiaminisha jamii ya kitanzania kuwa Rose Shirima anamdomo mchafu Kwa clip moja tuu iliyoanzia katikati tena aliyoirekodi yeye?
Come on! Tuache masikhara!
Sitetei Tabia ya majibu ya hovyohovyo na nyokonyoko Kutoka Kwa watumishi WA umma ila najaribu kuelezea kuwa yapo mazingira majibu ya nyokonyoko yanaweza kujitokeza accidentally.
Pia, najaribu kueleza kuwa ni Tabia Mbaya Kwa mfanyakazi au mwanafamilia kutoa nje madhaifu ya ofisi, kampuni au serikali Kwa Watu wasiohusika. Ni usaliti Mkubwa. Pia ni nje ya maadili ya Kazi.
Rose Shirima arudishwe kazini. Huyo James Getogo apewe onyo kali au akapewe semina. Ingawaje ingekuwa kwenye Ofisi binafsi basi angekuwa amefukuzwa kazi muda mrefu Sana.
Sio kazi ya mfanyakazi kufichua maovu ya ofisi anayofanyia Kazi. Hiyo sio kazi yako.
Waachie wenye kazi Yao ambao ni Sisi Raia.
Kumchomesha mwenzako Kwa Aina yoyote tena Kwa Watu wasiohusika Sisi kina Taikon tunaita ni uzuzu! Usaliti na kutojitambua.
Watanzania wengi watamshambulia Rose lakini kimsingi Rose hana kosa lolote. Tena apandishwe cheo.
SABATO NJEMA
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Iangalie hiyo video hapo Chini bila mihemko
Fuatilia taarifa... Hakuna kifaa kilichokua expired..Mtoa vifaa kuondolewa kwa kuendelea kutoa vifaa visivyofaa. AFUKUZWE
Takataka,ROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE

Je kwa ofisi ambazo zina camera au recording material nyingine, utazuiaje kurekodiwa?Kama mshkaji angekuwa mteja/Mgonjwa angekuwa sahihi Kwa kiwango kikubwa. Lakini wote no wafanyakazi wa hapohapo. Kwa kweli haina mantiki.
Utashangaa, MTU mwingine kwenye Ofisi Fulani sekta nyingine Kwa kukuchukia anakufuata na kukujaza au kukuonyesha mapungufu yako ya kikazi kisha ukianza kupaniki anakurekodi video. Hapo ushapaniki utaongea Kwa mihemko ukiwa hujui unarekodiwa.
Hiyo ni Michezo ya kijinga.
Kazi hizo wafanye Wananchi au serikali iunde kikosi kazi cha kufanya Michezo hiyo kupima ufanisi WA watumishi WA umma.
Huyu jamaa leo kaongea pumba halafu anajinasibu kama mtaalamu wa fasihi. Useless threadRobatiii. Unaongelea usiri kwenye swala la afya? Kweli? Watu wakifa uzembe ni wa nani? Kama sisi tena tunatetea makosa. Hii nchi tumevurugwa kwakweli. Akitokea mtu akapost swala la dawa Feki au dawa zilizo expire napo tena mtamuita msaliti kwa kutoa siri za serikali?
Je kwa ofisi ambazo zina camera au recording material nyingine, utazuiaje kurekodiwa?
Muhimu hapo ni kuzingatia kanuni za utumishi. Ukiwa mahali pa kazi unapaswa kuwa muadilifu wakati wote
Takataka,
imagine wewe mwenyewe unapimwa kwa kutumia expired tools.
Matokeo yaje unagonjwa la kuambukiza Ebora. Unachukulia poa?
Hapa ni usalama kwanza, haijarishi Luna siri za ofisi. Huyo huyo wa ofisini tukukifichia siri akanywa vidoge vilivyo exipire itakuwa poa?
Shirima anyang'anywe veti na afungwe kwa jaribio la kuhatarisha afya ya jamii kwa kigezo cha kutunza siri za ofisi.
Nayo ofisi ijitathimini kama inafaa kugawa vifaa tiba vilivyo expire. Na ifuaatilie waathirika wangapi wamepita mikononi wa Huyu shirima , na fidia iwekwe hadharani kwa Afya ya jamii.
Usimtetee Shirima kwa sababu za kijinga, atakuua .
Ila umeongea vyema. Maofisini mwetu kuna uhuni na ushenzi mwingi sana ni vile tu haijatoka public. Kama ww ni mfanyakazi wa ofisi yyt private au public nyosha mkono juu kama hakuna vituko, uhuni na ushenzi ofisini kwenu.
Kinachofanyika ni kwamba ya ofisini yanabaki huko kama siri za ofisi haijarishi aliyefanya ni nani. Niliwahi ku record tukio moja ivi ofisi flan baadar nikalifutilia mbali baada ya busara kuniambia kwamba haya matukini common Maofisini. Ni utamaduni usio rasmi.
Alichofanya James ni ushamba na sio weledi kama ulivosrma. Kuna vikao vya ndani na wakuu wa idara kama alivyoelekezwa na Shirima. Hizi ni siri za serikali na kamwe wameapa kutotoa siri za serikali. Kama incharge anafahamu hilo suala maanake linafahamika kwa ngazi kadha wa kadha za juu.
Hata hivo Rose hajamjibu vibaya. Ni shobo tu za James kwani anafahamu fika hilo suala inakuaje amlaumu Rose?
Rose is innocent, arudishwe kazini. Hana baya.
Huyo James ni mpumbavu mmoja tu..
Mbaya zaidi hakuna kilichokua kime expire..so inaenda kula kwake..