Roselina John ,strong woman in Tanzania

mwenewacu you are back again...sijakuona muda. ..umefanya jambo la busara nyaminga. ..ila ungekaa nalo tuu moyoni
achana na huyu aliyerejesha Pesa """ kilio changu mimi ni huyo wa kwenye avatar yko tu
 
Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
kma ndo ww kwenye hyo avatar kwann ucfatwe huwez kua siriazi
 
Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Naomba nikupe namba zangu utume huku
 
Isijekuwa wakati muamala wa Pedeshee unaingia bwana wako ndio akawa mtu wa kwanza kusoma Ujumbe kwenye simu yako...
Kutokana na mambo kuwa moto ukaamua kuua soo ikabidi urudishe mkwanja.

Nitakutumia 10k nione kama utarudisha nakuja PM
Nami nahisi kama wewe
 
Chukua pesa mkubalie kwani ataondoka nayo
 
Hii chai kabisa tena chai haswaa bila sukari!!!
 
Mmh, rose John ww si ndo yule tulisoma wote lugalo primary [emoji15] [emoji15]
 
uliowakubali / kuwaibia mbona hujawaleta jukwaani?
 
Acha Utoto....

Ungescreenshot msg
 
Muulize anatafuta nini kwako...

Labda kuna kitu ameona kutoka kwako anataka kukivumbua...

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…