Roselina John ,strong woman in Tanzania

Roselina John ,strong woman in Tanzania

[emoji23]hongera Kwa kukataa hela mi ntakupa zawadi Ya bonge la mkuki kama la Goliath natumai utalipenda
Na utalitumia vema Kwa manufaa yako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haa haa aiseee hyo Sasa ndo
Kuwa strong woman
 
Okay,nilidhani kuna binti namuonaga inst anajiita hilo jina,nilipokutana na comment yako nikajiuliza kumbe yule binti ni mtu mwenye kujulikana ktk jamii ya watz!?...
 
Okay,nilidhani kuna binti namuonaga inst anajiita hilo jina,nilipokutana na comment yako nikajiuliza kumbe yule binti ni mtu mwenye kujulikana ktk jamii ya watz!?...
Yule binti mfupi anakaa Moshi? Anajiita tu awe Folorusho kweli atambe.
 
Namba moja kwa wanawake si ni mtoto wa aliyekua rais wa Angola ,Dos Santos, ISABELLA DOS SANTOS ?
Nahisi kati ya hao wawili mmoja wapo ndo anaongoza. Ila miaka kama miwili mitatu nyuma Folorunsho ndo alikua anaongoza
 
Back
Top Bottom