EeehNdio huyo huyo anaishi Moshi,kumbe Nairobi alisomaga tu
We si unajifanyaga mnyaruanda simjui mbirundi.. Tigopesa inafika mpaka huko?Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,
Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Hujui anatafuta nini kwako??, si ni Kitumbua.Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,
Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Kweli aisee, maana kwa usawa huu, eti pesa irudishwe, aah! wapi.Isijekuwa wakati muamala wa Pedeshee unaingia bwana wako ndio akawa mtu wa kwanza kusoma Ujumbe kwenye simu yako...
Kutokana na mambo kuwa moto ukaamua kuua soo ikabidi urudishe mkwanja.
Nitakutumia 10k nione kama utarudisha nakuja PM