Na bado kweli Kagame kawaweza mbogambogaHuyu ni mwanamke wa shoka.
Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.
Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa.
N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake
Mr wa nini .Acha mfumo dume wa ukoo wenuHuyu ni msanii sana na wa mitandao!
Upstairs hakuna kitu!
Ukinitajia Mr wake nitakupa zawadi mkuu!
No reform no election itatibu ujinga huu wote.Huyu ni mwanamke wa shoka.
Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.
Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa.
N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake
Kazimudu au kapotezewa mambo yaendeHuyu ni mwanamke wa shoka.
Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.
Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa.
N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake
We ni mwehu? AuChadema kwani wameshapita Dodoma
UliyemtajaMr wa nini .Acha mfumo dume wa ukoo wenu
Unamzungumzia mamako?Huyu ni msanii sana na wa mitandao!
Upstairs hakuna kitu!
Ukinitajia Mr wake nitakupa zawadi mkuu!
NdioUnamzungumzia mamako?
We akili yako ni feki km ID yakoDodoma Ina kash Kash Gani, mpaka uwe umepima ameweza lolote? Amefanya ubunifu Gani kwa maendeleo ya ustawishaji jiji?
Antony mtaka alitosha sana
Bora umemwambia huyo MBUMBUMBU. Ukimalizana naye, mwambie atutafute sisi watu wa Geita tumpe classified infoHuyu ni msanii sana na wa mitandao!
Upstairs hakuna kitu!
Ukinitajia Mr wake nitakupa zawadi mkuu!
Hapana dada Rose senyamule hakuna unalo lifanya upo slow sana kutenda, kuongea hata kufikiri, 🥹We akili yako ni feki km ID yako
a shilingi ya kumpigia promo au uchawa?Huyu ni mwanamke wa shoka.
Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.
Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa.
N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake
YUle Ni Mzilankende Ama ?Bora umemwambia huyo MBUMBUMBU. Ukimalizana naye, mwambie atutafute sisi watu wa Geita tumpe classified info