Rosemary Senyamule, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ana kitu, anafaa kuwa Waziri awamu ya 2025-2030

wac
Huyu ni mwanamke wa shoka.

Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.

Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa.

N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake
unawanga mchana mchawi wewe dodoma kuna harakati gani za siasa wakati wagogo wamewekwa kwenye tenga na CCM wakajengewa na mirembe kabisa
 
Huyu ni mwanamke wa shoka.

Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.

Nadhani anastahili kuwa mahali pa juu zaidi ya hapo sasa.

N. B: huwa sichoki kumuangalia sura yake
Kila mkuu wa Mkoa sahivi ana chawa wake
 
Back
Top Bottom