Mo hakukimbia ila cha moto alikipataš¤£Kazi gani? Hakukimbia Nchi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo hakukimbia ila cha moto alikipataš¤£Kazi gani? Hakukimbia Nchi au?
Hakujua saikologia ya jiwe.Kwa yale mateso hata ingekuwa wewe.
Angekimbia Ingekuwa worse zaidiMo hakukimbia ila cha moto alikipataš¤£
Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda?
Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la silaa ikabidi arejee kuja kukabidhi channel ten na miradi yake Mingine. Kwa umafia akaamua kujifanya mjinga mara paap akapewa Dili la Taifa gas Tena Kwa kukabidhiwa na aliyemkimbiza nchi. For this regime he is safe and he can recovery loss ambazo zilijitokeza. Ila Bado apaswi kuuamini huu mfumo usipomtesa yeye utawatesa ndugu yake.
Kuna kuwa tajiri ukaishi kama tajiri na Kuna kuwa tajiri ukaishi kama digidigi, na hii utokea afrika pekee ambapo tajiri ni mwanasiasa aliyepo madarakani, miobaki ni watumwa kwake regardless ya amount ya fedha uliyonayo.
Usipokuwa mwanasiasa na ukapishana na mwanasiasa kimapenzi, kiuchumi, kiitikadi na kisera wewe utakuwa maskini kama maskini wengine. Utakuwa na fedha ila utazila Kwa shida.
Tujiulize safari ya utajiri wa Seth na Rugemalila Ndo ikawa mwisho 2015? Safari ya familia ya akina Mo na wengine ndo itegemee mwanasiasa pamoja na kusota kwao kote kutafuta fedha na Mali? Kwamba Sasa ni matajiri ila wanaogopa kutoka ndani kuingia uwanjani kuuongeza utajiri wao Kwa sababu ya mwanasiasa? Kwamba wanakula Kwa mawazo?
Kwanini awakuona ubovu wa mfumo wakatumia fedha zao kuzalisha mfumo ambao utawapa uhakika wa kusimamia utajiri wao mbele ya jamii na mbele ya mahakama? Kwamba waseme utajiri wangu Mimi nimeupata Kwa shida na nitaulinda daima!
Kwanini matajiri wetu wanaochipukia wanashindwa kujilinda na maadui? Lazima wafungamane na wanasiasa? For what? Bado wanaamini awamu ya Tano ikirudi watabaki salama?
Nawakumbusha muda ni Sasa, ufe mfumo mbovu uzalishwe mfumo madhubuti unaoheshimu haki ya Kuishi, kumiliki Mali, kuwakilishwa kwenye vyombo vya maamuzi na kulinda utu au ubaki mfumo uliopo unaowafanya wawaze nani kesho atatawala?
Walikuwa na fedha azikuwasaidia, angalau tungekuwa na katiba imara, taasisi imara na sheria madhubutu wasingeishia kuzeeka Kwa fedhea wanayopata Sasa.
Tafakuru ya kiuchusiasa(ecopolitics
Kama unakubali kuna mapungufu lakini bado unapinga katiba bora baso wewe hauko tayari kwa mabadiliko.
Mfano mzuri tu kuna wakurugenzi wa vitengo hawako tayari kuungana na wadhalimu. Mfano Ndugai asingeungan na Samia kukopa kukopa bila mpangilio. Au CAG Assad asingeficha makosa ya serikali, au Jaji Mkuu na wengine kama akina Jaji Mtungi wasingekuwa wana boronga kama wangekuwa na uhuru kikatiba. Ila wanalazimika.kufata matakwa ya mabosi wao.
Haya yanaweza kupungua kama sio kuisha kama hizi taasisi zingekuwa independent kikatiba.
Swala lingine kama kesu ya Mbowe isingetumia pesa nyingi na resources za serikali mabilioni kwa mambo ya mtu binafsi. Ingepigwa stop na mahakama ndani ya mwezi mmoja tu ya kuanza.
Chunga sana