Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

Kwa yale mateso hata ingekuwa wewe.
Hakujua saikologia ya jiwe.
Yule mzee ilitakiwa unampa heshima yake unajifanya mjinga unajishusha unamsifia Sana anaridhika halafu unaishi nae ndo wajanja walivyocheza na saikolojia yake bila kuathirika. kwa visasi na ligi utoweza .
Akishakunyoosha kuwa mpole mwambie mzee nimekubali then mnakuwa mabest dili zote unapewa wewe unampa hesabu yake. Ndo kina GSM na matajiri wengine kwani waliishije. Huwezi kimbia afrika watawala kote wanafanana. Muhimu kucheza na saikolojia yao utakuwa salama.
 

Hao uliowataja, utajiri wao ulitokana na siasa chafu za rushwa na wizi mkubwa kupitia mikataba ya hovyo na kuibia nchi billions, so kuanguka au kusimama kwao kutategemeana na walipopata mali zao ambazo zilipatikana kwa wizi wizi tu. Hivyo hakuna anayepata mali kihalali alafu wanasiasa waanze kumsumbua au huyo tajiri aanze kukimbia nchi au ashikwe na kuwekwa gerezani.

Utajiri wa wizi au grand corruption mwisho wake ni mbaya sana.
 
Ila tu ni kwa kuwa nchi hii haipo serious na mambo makubwa. Hao uliowataja wote hakuna msafi ni wazee wa pesa chafu, Ila hata huko serikalini nani msafi? Shida ndio ipo hapo
 
Ndo maana matajri wa Tanzania hawawezi kukuandikia kitabu kinachoelezea jinzi walivyotajirika na nini kiliwatajirisha
 


Nakubaliana na wewe [emoji817]
Na Mimi Pia nahitaji mabadiliko ila hiyo nguvu wanaotumia hao mamluki ni kubwa sana
Inatakiwa wanaopinga wawe wengi zaidi ya CAG na Ndungai
Inatakiwa kuchagua watu ambao hawayumbi hata wakipewa hela za aina gani la sivyo tutapata wawili wa kupinga na watazimwa
Imagine watu wanaiba ila utasikia kiongozi anaita takukukuru wamchukue ila baada ya hapo Mabilioni yamepotea na hatuambiwi tena zimerudi au wamegawana wao kwa wao na Sisi tumepigwa changa la macho

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…