Tatizo umeandika kishabikiTaarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Simba walichofeli wamempa Kanjibai pekee yake hisa 49% , kinyume na sheria.Tatizo umeandika kishabiki
Yanga hatujabeza Simba SEMA watu wanahoji kuhusu kuwekwa kwenye account zile 20b
Hata hawa Kama wasipotekeleza matakwa ya mkataba lazima wahojiwe
yeah unaweza kusema ni kitu kile kile.Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Mzee nilijua utahoji hisa moja huko yanga ni sh ngapiTatizo umeandika kishabiki
Yanga hatujabeza Simba SEMA watu wanahoji kuhusu kuwekwa kwenye account zile 20b
Hata hawa Kama wasipotekeleza matakwa ya mkataba lazima wahojiwe
yanga haiigi WANAWAKE.Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
chanzo cha migogoro isiyoisha na kuivuruga timu kinaanzia hapo kila mtu atakuwa na conflict of interest kisha mvurugano. Uto miaka 5 tuu mtapotelea mbaliTaarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Huyo ni MbumbumbuMkuu we unaona ulichoandika hapa na walichofanya Simba ni kitu kile kile? Unaona viko sawa?
Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Dua la Kukuchanzo cha migogoro isiyoisha na kuivuruga timu kinaanzia hapo kila mtu atakuwa na conflict of interest kisha mvurugano. Uto miaka 5 tuu mtapotelea mbali
Kupotea kwetu kunakoshangazwa na \yanga ni kile kitendo cha MO kusema amewekeza kwetu bilioni 20 ili hali badi ziko kwenye akaunti yake, na sisi tayari tumekwisha mmilikisha timu.Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
chanzo cha migogoro isiyoisha na kuivuruga timu kinaanzia hapo kila mtu atakuwa na conflict of interest kisha mvurugano. Uto miaka 5 tuu mtapotelea mbali
Wewe umeandika kishabiki tu bila kujua sheria inasemaje kuhusu uwekezaji kwenye hizi timu zinazomilikiwa na wanachama.Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Simba imempa mtu mmoja asilimia 49. Je MO hajawahi kuingia kwenye mgogoro na mwanachama/shabiki/mpenzi yeyote wa Simba?
#KILOMONI #KIGWANGALLA #HATIYAKLABU