Rostam Aziz akubaliana na Yanga kununua hisa 29%

Status
Not open for further replies.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.

Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .

Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
===========
Updates

Rostam Akanusha: Rostam Aziz akanusha kununua hisa Yanga
 
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.

Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .

Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Tatizo umeandika kishabiki
Yanga hatujabeza Simba SEMA watu wanahoji kuhusu kuwekwa kwenye account zile 20 B
Hata hawa Kama wasipotekeleza matakwa ya mkataba lazima wahojiwe
 
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.

Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .

Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
yeah unaweza kusema ni kitu kile kile.

ila sema labda Vyura fc wapo smarter kwa kigezo cha "risk distribution".... yaani hawajaweka mayai yao yote kwenye kapu moja kama walivofanya wenzao Mbumbumbu fc.
 
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.

Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .

Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
yanga haiigi WANAWAKE.
 
chanzo cha migogoro isiyoisha na kuivuruga timu kinaanzia hapo kila mtu atakuwa na conflict of interest kisha mvurugano. Uto miaka 5 tuu mtapotelea mbali
 
kama sikosei suala la uwekezaji liliasisiwa na Otopolo FC ila sisi tuliwahi kulitekeleza.
 
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
Kupotea kwetu kunakoshangazwa na \yanga ni kile kitendo cha MO kusema amewekeza kwetu bilioni 20 ili hali badi ziko kwenye akaunti yake, na sisi tayari tumekwisha mmilikisha timu.

Yaani ni kama kuishi na mwanamke ghetto na kuwaambia wazazi wake kuwa maali ipo umeiweka kwenye akaunti ya mkeo iliyo sajiliwa kwa jina lako/
 
chanzo cha migogoro isiyoisha na kuivuruga timu kinaanzia hapo kila mtu atakuwa na conflict of interest kisha mvurugano. Uto miaka 5 tuu mtapotelea mbali

Simba imempa mtu mmoja asilimia 49. Je MO hajawahi kuingia kwenye mgogoro na mwanachama/shabiki/mpenzi yeyote wa Simba?

#KILOMONI #KIGWANGALLA #HATIYAKLABU
 
Labda umeona aibu kumalizia hizo tetesi weka pia na kiwango cha pesa uone km 49% aa hisa ni kiasi gani na ni sawa na simba?
 
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.

Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .

Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Wewe umeandika kishabiki tu bila kujua sheria inasemaje kuhusu uwekezaji kwenye hizi timu zinazomilikiwa na wanachama.
Sheria inawataka wawekezaji kumiliki 49% na wanachama kumiliki 51% ya hisa.

Hivyo usijenge dhana kwamba kila kinachofanywa na Yanga kinaigwa toka simba mambo mengine ni matakwa ya kisheria usiwe mbumbumbu.
 
Simba imempa mtu mmoja asilimia 49. Je MO hajawahi kuingia kwenye mgogoro na mwanachama/shabiki/mpenzi yeyote wa Simba?

#KILOMONI #KIGWANGALLA #HATIYAKLABU

Wewe Utopolo uliyetukuka subiri Utopolo wamuuzie hisa muwekezaji halafu wale wapigaji mianya yao izibwe na muwekezaji uone kama Kina Kilomoni na Kigwangwala wa Utopolo kama hawatoibuka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom