Rostam Aziz alitakiwa kuwa ndiye mlipa Kodi mkubwa kuliko wote wa nchi hii, kwanini Sivyo?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa.

1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo.

2.Migodi ya dhahabu yumo,

3. Makaa ya mawe yumo.

4. Gesi yumo.

5. Utalii yumo na Royo tua.

6. Usafiri na usafirishaji yumo.

7. Umeme yumo na majenereta.

8,9,10,11............

1. Sasa pamoja na deal zote kibiashara, Tra itwambie ukwasi wake ni gani?

2. Na kwanini hajashika list ya tajiri no 1 Tanzania?

3. Na kwanini SI mlipa Kodi mkubwa nchini Hadi sasa?

Naomba kufahamishwa🙏
 
Rostam anaachwa mbali sana kwa ukwasi na yule Mo Dewj,

Unaamini Hilo?
Sina chakuamini kwa ukwasi wa watu wengine ila tu ningependa kujua tajiri no one tz ni nani
 
Rostam anaachwa mbali sana kwa ukwasi na yule Mo Dewj,

Unaamini Hilo?
Rostam aliwahi kuwa tajiri naomba Moja Tanzania . Na ndie dollar billionaires wa kwanza Tanzania. Hivi sasa ni tajiri wa pili . Ila Hawa matajiri wamewekeza kwenye nchi nyingi sio TZ tuu. Mo dewji kawekeza nchi 17 ndio inampa hadhi ya tajiri naomba Moja Tanzania
 
Anajua anavyoshugulia vinyeo mfano hapa JF wa CCM:Angalizo hii picha anavyowafanya ila badilisha rangi alafu kawapakia paliki
 
Rostam anamiliki share za makampuni na hayo makampuni ndio yana lipa kodi. So haamui yeye kulipa ama kutolipa kodi.

Pia yeye sio kwamba anamiliki hiyo migodi moja kwa moja kama wengi wanavyodanganyana humu bali anamiliki vifaa, fikiria kama kwenye shamba kijijini kwenu kuwe na mtu ana matrekta kama yote mtu yoyote akitaka kutifua shamba anaitwa yeye.

Rostam anamiliki Caspian ambayo sasa hivi inaitwa Taifa Mining kama sijakosea, yenyewe ina vifaa vya kuchimbia Madini mengi tu, kina Barrick sasa ndio wanampa tenda za kwenye hio migodi Soma hapa zaidi

 
Lete ddata lini alikuwa tajiri no 1 Tz Katika record na Kodi alilipia bei gani?
 
Kumbe anazidiwa ukwasi na No Dewj?
 
Lete ddata lini alikuwa tajiri no 1 Tz Katika record na Kodi alilipia bei gani?
Kipindi anamiliki Voda Tanzania around that time alikua dola billionaire wa kwanza, then aka drop ila hachezi mbali ni hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…