Rostam Aziz alitakiwa kuwa ndiye mlipa Kodi mkubwa kuliko wote wa nchi hii, kwanini Sivyo?

Rostam Aziz alitakiwa kuwa ndiye mlipa Kodi mkubwa kuliko wote wa nchi hii, kwanini Sivyo?

Ndio Dewji ni kama mara 2-3 utajiri wake vs Rostam, dewji ana utajiri zaidi ya Trilioni 5 kwa sasa na estimation Rostam ni around hio Trilioni 2.
MO dewji hawezi mfikia Rostam hata robo achana na masuala ya Forbes unajua mtu kumiliki mgodi sio mashimo mgodi
 
Ahsante kwa taarifa,

Japo ningezipata taarifa za ulipaji Kodi wake toka Tra kupitia kampuni zake zote,

Ningefurahi.
Yeye haamui kulipa ama kutolipa bali kampuni husika, mfano yeye ni mmiliki wa Tigo so Kampuni kabla haijatangaza faida na kulipa shareholder inalipa kodi kwanza. So ukiangalia Tigo wanalipa kiasi gani na yeye ana Asilimia ngapi ya Hisa unapata rough Estimation za kodi aliyolipa.

Sina data za Makampuni makubwa yana lipa kiasi gani, data za mwisho ni za Zitto kabwe since 2011.
 
Wewe ungekuwa una uwezo wa kutolipa kodi ungelipa??
 
MO dewji hawezi mfikia Rostam hata robo achana na masuala ya Forbes unajua mtu kumiliki mgodi sio mashimo mgodi
Halafu ndani ya chama Cha majani mabichi anafanya Nini?

SI afanye biashara zake tujue moja?

Huku chama,anatokea kwa kiongozi Mkuu, mara Royo tua,

Kule tunaambiwa makaa ya mawe ni mradi wa chama, kumbe alishauteka!

Kunani hapa?
 
Salaam!

Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa.

1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo.

2.Migodi ya dhahabu yumo,

3. Makaa ya mawe yumo.

4. Gesi yumo.

5. Utalii yumo na Royo tua.

6. Usafiri na usafirishaji yumo.

7. Umeme yumo na majenereta.

8,9,10,11............

1. Sasa pamoja na deal zote kibiashara, Tra itwambie ukwasi wake ni gani?

2. Na kwanini hajashika list ya tajiri no 1 Tanzania?

3. Na kwanini SI mlipa Kodi mkubwa nchini Hadi sasa?

Naomba kufahamishwa🙏
Alitakiwa kuuawa.
 
Yeye haamui kulipa ama kutolipa bali kampuni husika, mfano yeye ni mmiliki wa Tigo so Kampuni kabla haijatangaza faida na kulipa shareholder inalipa kodi kwanza. So ukiangalia Tigo wanalipa kiasi gani na yeye ana Asilimia ngapi ya Hisa unapata rough Estimation za kodi aliyolipa.

Sina data za Makampuni makubwa yana lipa kiasi gani, data za mwisho ni za Zitto kabwe since 2011.
Kwanini asiondoke ccm Ili afanye biashara ziso na maswali?

Msaada wa koti la kijani ktk biashara zake ni upi?
 
Alitakiwa kuuawa.
No, asijihusishe na siasa za ccm,

Afanye biashara pekee.

Watu wajuvi tutafuta fursa kiuchumi kwnn wauwawe?

Ni kumtenga na viongozi wetu, apambane kihalali
 
Halafu ndani ya chama Cha majani mabichi anafanya Nini?

SI afanye biashara zake tujue moja?

Huku chama,anatokea kwa kiongozi Mkuu, mara Royo tua,

Kule tunaambiwa makaa ya mawe ni mradi wa chama, kumbe alishauteka!

Kunani hapa?
Huko nyuma, awamu ya nne alichukua mali nyingi za CCM ikiwemo channel 10, jengo la Lumumba. Ingekuwa vyema Bashiru akaweka wazi ile report ya uchunguzi wa mali ya chama ya 2016/17.

Katibu mkuu Mkama alibaini pia ufisadi mkubwa alioufanya Rostam katika report yake 2011.
 
anatakiwa kuwa gerezani au mlipakodi mkubwa unatuchanganya ujue
Sidhani kama wanaweza kumuweka gerezani. Inaonekana ana nguvu kubwa kuliko Rais, vyombo vyote vya ulinzi na usalama, serikali, mahakama, CCM na bunge.

Yeye na Msoga inawezekana wakawa wanamiliki zaidi ya 10% ya uchumi wote wa Tanzania na wanaamua nani awe wapi.
 
Rostam anamiliki share za makampuni na hayo makampuni ndio yana lipa kodi. So haamui yeye kulipa ama kutolipa kodi.

Pia yeye sio kwamba anamiliki hiyo migodi moja kwa moja kama wengi wanavyodanganyana humu bali anamiliki vifaa, fikiria kama kwenye shamba kijijini kwenu kuwe na mtu ana matrekta kama yote mtu yoyote akitaka kutifua shamba anaitwa yeye.

Rostam anamiliki Caspian ambayo sasa hivi inaitwa Taifa Mining kama sijakosea, yenyewe ina vifaa vya kuchimbia Madini mengi tu, kina Barrick sasa ndio wanampa tenda za kwenye hio migodi Soma hapa zaidi

ndugu mwenyewe uaandika kitu ambacho huna huwakika nacho ungekaa kimya tu hivi unavyowateteeni hawa waizi unapata nini huku tukiwa maisha yetu kula yenyewe shida utakuta hata dada yako kwa ufisadi wa hawa watu unakuta anajiuza ili ale halafu wewe ipumbavu unatetea
 
No, asijihusishe na siasa za ccm,

Afanye biashara pekee.

Watu wajuvi tutafuta fursa kiuchumi kwnn wauwawe?

Ni kumtenga na viongozi wetu, apambane kihalali

Asiuawe wakati ali suka mipango ya Kumuondoa Mtanzania wa kwanza? Huu si ndo uhaini wenyewe?
 
Salaam!

Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa.

1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo.

2.Migodi ya dhahabu yumo,

3. Makaa ya mawe yumo.

4. Gesi yumo.

5. Utalii yumo na Royo tua.

6. Usafiri na usafirishaji yumo.

7. Umeme yumo na majenereta.

8,9,10,11............

1. Sasa pamoja na deal zote kibiashara, Tra itwambie ukwasi wake ni gani?

2. Na kwanini hajashika list ya tajiri no 1 Tanzania?

3. Na kwanini SI mlipa Kodi mkubwa nchini Hadi sasa?

Naomba kufahamishwa🙏
Nenda TRAB na TRAT utapata majibu yako huko
 
Back
Top Bottom