Rostam Aziz alitakiwa kuwa ndiye mlipa Kodi mkubwa kuliko wote wa nchi hii, kwanini Sivyo?

Rostam Aziz alitakiwa kuwa ndiye mlipa Kodi mkubwa kuliko wote wa nchi hii, kwanini Sivyo?

ndugu mwenyewe uaandika kitu ambacho huna huwakika nacho ungekaa kimya tu hivi unavyowateteeni hawa waizi unapata nini huku tukiwa maisha yetu kula yenyewe shida utakuta hata dada yako kwa ufisadi wa hawa watu unakuta anajiuza ili ale halafu wewe ipumbavu unatetea
Kwenye hio comment kuna kitu gani cha kutetea? Mtu anapokusahihisha na kuweka mambo sawa sio utetezi.

Hivi unajua kampuni za Dhahabu na Almasi wewe? Rostam angekua anamiliki yeye hio migodi hata Dangote asingeona ndani, Barrick pekee wanapiga biashara za mamia ya matrilioni ya tsh, hao Petra Diamonds ni kampuni kubwa inachimba hadi South wapo listed mpaka masoko ya Hisa makubwa,

Rostam Anapewa Tenda Na hayo makampuni Hamiliki hio migodi, yote ni ya wazungu
 
Back
Top Bottom